Stress free zone

Wifi wifi wifi, wifi huyooo wifi, wifi huyooo wifi lol.... kakangu Rejao hapa kapata mke, sio siri my lovely wifi Cantalisia najivunia wewe kuwa mke wa kakangu....
Hee hee hee sweetlady my darling wifi
images
sana lol!
 
Last edited by a moderator:
Hapa la msingi niletee kipenzi changu mambo yataisha....shauri halitaenda mahakamani...
Klorokwini nshaongea nae kazi ni kwako

he! Kwani Erickb52, kipenzi chako ninacho? Ndo kipi tena nikumbushe:ranger:
 
Last edited by a moderator:
Mi ndo naeleke stress free zone nikatulie hapo alone nile upepo wa bahari hadi usiku. maisha yako ni wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom