Stress free zone

joramjason

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
425
132
Hv unaweza kuta humu jf wanaoongoza kwa sredi za vituko na majibu ya hovyo hapa JF ni watu maarufu or viongozi wakubwa serikalini or mashirika ya dini or NGO's wanarelease stress. Kwa mfano Lizzy = Anna Makinda, Ritz = Wassira, Kingkong = Pinda ongeza wengine unaowafikiria
 
hahahaaaa... shem Cantalisia mimi ni yule anaesema niwalambe nisiwalambeeeeeee!...anaitweje tena?shem wangu wewe hapa TZ sijaona atakayekua kama ww...nahisi uko kama Bi. Hillary Clinton...walahiii...
Hahahah hahha hahha,
Shem BAGAH yani umenifananisha na waziri wa Obama!!!
Kumbe niko matawi ivo!!!
Asante shem!

Ila wewe na nimekupatia,uwe unatutupia mistari basi ili matukio yakija tuwe tushakariri ni kuimba tu lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah hahha hahha,
Shem BAGAH yani umenifananisha na waziri wa Obama!!!
Kumbe niko matawi ivo!!!
Asante shem!

Ila wewe na nimekupatia,uwe unatutupia mistari basi ili matukio yakija tuwe tushakariri ni kuimba tu lol!

fulu kinyulaa...hujajuaga tu!?nakuvutia picha!nikirudi bongo ww ni Migirooooo!umetisha!

ninatoa kawimbo kangu kwa wajili ya kale kachicken-spring kalioko jela!unakajua shem?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom