Owosumbaku
Member
- Jan 25, 2011
- 10
- 1
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na migomo na maamdamano kwa wanafunzi wa vyuo vyetu hapa nchini. Mwodoko huu wa migomo umesisiwa na CHUO CHETU CHA KATA-Dodoma ambacho ni kipenzi cha JK na serekali yake baada ya KUTEKELEZA ilani ya CHADEMA ya 2005-2010 kuhusu ujenzi wa DODODMA kama kituo cha elimu.
Jana ilikuwa kwa zamu ya CHUO CHA MAKUMIRA ARUSHA. Tofauti na ilivyokuwa kwa CHUO CHA KATA ambapo serekali ikiongozwa na WAZIRI MKUU illihamia huko kujaribu kutuliza ili JINA la Phd YA mkulu lisiharibike, jana SEREKALI ilitupian lawama UONGOZI wa WANAFUNZI wa Makumira kuwa wao ndio waliosababisha pesa kuchelewa toka bodi ya mikopo. "Naye Waziri wa mikopo wa serikali ya wanachuo, Emmanuel Kaaya, alikanusha kuwepo kwa uzembe katika ofisi yake na kuthibitisha kuwa, hadi sasa kuna matatizo kwenye bodi ya mikopo(www.mwananchi.co.tz).
My take: Kwa kuwa migomo yote CHANZO ni UCHELEWESHAJI au UZEMBE wa BODI YA MIKOPO, kwa nini uongozi wa serekali ya wananfunzi wa MAKUMIRA watupiwe lawama ilhali sote tunajua utendaji mbovu wa Bodi ya mikopo?
Nawakilisha