Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.

Mdharuba

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
824
517
Nikiwa natokea Same mkoani Kilimanjaro shuleni ambako nilikua nasoma miaka miwili ya Advanced Level..tukiwa tumepata likizo ya wiki moja ya Midterm. Huwa sipendi kubaki shuleni hata kwa likizo fupi ya wiki moja kutokana na adha mbalimbali ikiwemo ukosekanaji wa maji ya kutosha katika mji ule. Nilikua nimesimama kwani Same ni njiani tu na magari tunayotegemea kupanda ni yanayotokea Arusha kwenda Tanga..

Nilisimama mpaka tulipofika Korogwe ambapo abiria wengi walishuka na ndipo nikapata nafasi ya kukaa. Nilikaa siti ya watu wawili ambapo alikuepo mdada mmoja mweupe mwenye Uso wa duara akiwa amevalia dera lake la pinki lenye maua mekundu na ya kijani kibichi.
Nkamsalimia "Dada habari yako"

Akajibu "Safi tu ndugu yangu, Mambo vipi??!"

Nkamjibu "poa tu..namshukuru Mungu".

Kisha kimya kikatawala tukiwa tunaendlea na safari.

"Samahani kaka unaitwa nan??" Hii ni sauti iliyonishtua kutoka kwenye mawazo mazito sana nliyokua nafkiria pepa yangu ya GS ambayo niliifanya kwa dakika 30 tu ili niwahi stend nirud nyumban kwn nlishachoka kukaa mda mrefu bila kuoga!!

Nkaangalia dirishani nkaona kumbe tulikua Segera..njia panda ya Dar, Arusha na Tanga ambayo ni km 75 kutoka Tanga mjini.. "Naitwa Jk" nilisema hvyo baada ya kujikohoza..
"Same ndo unapoishi??!"

Nkajibu "Hapana..nipo masomoni, Nasoma Same Sec.."
"Ok vzr.. someni mwaya mje kutuajiri"
"Ucjali"
"Hivi unasomea nini??"
Swali ambalo lilikua linaonesha kuwa hakuwa kabsa na idea na hzi mishe za kusoma..
"Nipo kidato cha 6 nasoma sayansi"
Nlimjibu kutokna na uelewa wake.
"Ok, na Tanga ndo nyumbani??"
Kabla cjamjibu hili swali lake cm yke ikaita.

"Umefika waapii??"
nliisikia hyo sauti kutoka katka spika ya cm yke... akaniangalia na kuniuliza "Eti hapa ni wapi??"
Nkamwmbia "Segera" na kabla hajamjibu nkamsikia anasema "Oosshh...simu yangu imezima chaji"
Kabla hajaongea neno lingine nkawa nimemtolea cm yng ambayo ilikua ya line mbili na kumwambia "Chomeka tu line yako hapo pembeni uongee nae, haina haja ya kuzima simu"
"Oky asante sana kakaangu"

****************

"Mi nimefika Segera" alisema baada ya cm upande wa pili kupokelewa.
"Ok sawa, ukifika Muheza utanijulisha"
"Sawa"
Safari ikaendlea.."Sasa uctoe line yako mpaka tufike, huenda akakutafta tena" nlimwambia na kuongeza..

"Kwn ww hujawahi kufika huku??"
Akajibu "Hapana..hii ndo mara yangu ya kwanza kuja Tanga"
"Ila hujanambia unaitwa nani??"

"Naitwa Sofy.."
Nkatania "Sofy ni kifupisho cha Sofia au?"
Akajibu.."Yah..Jina langu kamili ni Sophia Luistick Kikopa"
"Ok nice name"
Akajichekesha.."Nice name waapiii?? Kikopa ndo nice name?"
Nkamjibu "Yeah Jina la kibantu original..KIKOPA"
"Na ww jina lako la kibantu ni lipi?"
Nkamjibu "Mdharuba"

"Na JK ni kifupisho cha nn??!"
Nkamwmbia "Jk ni Jumaa Khatib"

"Ok jina zuuuuriii saaana, nimepend Jina lako la Khatib..limekaa kiislam..mi napenda sna majina ya kiislam..ni mazuri sana kuyatamka" ...Nkatabasamu.. then nkamwambia "Asantee"
Tukawa tumezoeana na tukapiga story nyingi sna mpk tulipofika Muheza... wakat tupo stend ya Muheza akaniuliza "Hapa wapii?"

Nkakumbuka hapa ndipo alipotakiwa Kupiga simu..licha ya kuwa nlikua nkisikia alichokua akiongea kwnye cm..ila alipokata cm alinambia "Tukifika Muheza nishtue nimjulishe hyu mtu"
"Hapa ndo pale uliposema tukifika nkustue"
"Ok thanks ngoja nimpigie simu"

Alisema na kuweka cm ckioni..lkn ghafla nkackia "Oooh My God.. Hapatikani"
"Jaribu tena..maana sometymz tigo ni wazushi kama jina lao"
Alijaribu mara nying sana lakini bado cm haikupatikana...mpaka tulipofika Tanga mjini na tukiwa tumeshashuka stendi..cm haikupatikana"

Nakumbuka tuliingia Tanga mishale ya saa 11 jioni...lakn tuliendlea kutafta yule mtu kwenye cm lakn hakupatikana..mpka saa 1 ucku cm yng ilivyoita bdo tulikua stend..yule dada aliniangalia akiwa ameshkilia cm yng na kunambia "Mamaako anapiga"

"Vpi mwanangu mbona hufiki nyumbani umepata matatzo gani huko njiani maana tangu uliponambia umepanda gari ni mda mrefu sna mwanangu"

"Mama nimefika salama..nilipitia kwa aunt kidogo" Nilidanganya..
"Ok sawa nimepata wasiwasi maana nlikuekeaa chakula cha mchana mpaka kimekua cha jion"
"Nakuja mama nipe dk 10"
Nlisema na kukata cm...

nkamgeukia yule binti na kumuuliza... "Hivi hyu mwenyeji wako ni nan yako?"
Akajibu.."Mi cmjui na cjawahi kumuona..tunawasiliana tu kwenye cm, alikosea namba ndo tukazoeana..na jana ndo akanitumia nauli akanambia nije Tanga leo"
"Huna mtu ambaye unamfaham mayb rafk yke anayeweza kumtafta tukampata"
Nilimuuliza kwa makini huku nimemkazia jicho...

"Hapana..zaid ya jina lake mi najua tu kuwa anakaa Tanga Mikanjuno cjui Makanjuni huko...nothing else...
Alijibu na kuninyong'onyeza...

*****************

Usikose Episode 02

***************
 
STORY:Nakupenda Jk.
Mtunzi: Mdharuba Jk.

EPISODE 01

Unataka kumletea Lara1 upinzani na hizi simulizi ndefu, au!
 
Jana nilipost ya 8 na 9 na leo nimepost ya 10..uwe unapitia kwa makini kabla ya kucomment kaka..

Pamoja kaka nimeiona sasa, ila Jana nimekesha mpaka saa tano kasoro sikuona kitu, asubuhi hii ndo nkakutana na hii ya Mapenzi nkajua ushatutelekeza tayari....!!

Pamoja sana

BACK TANGANYIKA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom