Story nzuri ya upendo!!

Pindima

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
347
81
story nzuri ya upendo..

Vipepeo wawili walikuwa wanapendana, siku moja waliamua kucheza mcheo wakujificha na kujifuchua, waliweka ua na waliamua kesho ambaye atakuja wa kwanza na kukaa juuu ya ua hilo atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na alisubiri ua lifunguke, lilipofunguka alishtuka kuona kwamba, kipepeo jike amekufa ndani ya ua".

Kwasababu alikuwa anasubiri tangu jana usiku kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anayompenda. Je wewe utamuonesha nini Mpenzi Wako? ili aone ni jinsi gani unampenda?

Naomba jibu.
 
kwa hiyo unataka na mie nimwoneshe kwa kujiua na ua?
Una utani na maisha wewe...
 
Yeye atajua tu kama anapendwa..si lazima kufanya vitu vya kizembe kama huyo kipepeo mjinga,alijiua kwa uzembe wake mwenyewe!
 
ya kufikia kujiua yanaangalia umri
baada ya miaka mitano waweza kuwa na opinion tofauti

acha kuangalia picha za kihindi zaweza kuharibu, au romeo and julieth

Mapenz hayana umri ukipenda umependa!!
 
Nitamwonyesha mpenzi wangu jinsi ninavyompenda kwa kutunza na kuheshimu penzi pia kwa kumpa mapenzi ya dhati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom