Stollen Kisses-------------

na zile kadi zinapicha za watu wazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,old is gold kwakweli
Hahahahaha zile za wahindi mungu wangu kuna moja ilinileteaga kasheshe lol.......secret admirer mwenyewe kaniandikia afu kabla sijakabidhiwa ikadondoka na kuokotwa na wengine ......lol
 
Stolen kisses are the sweetest....kulikuwa na writing pads zenye harufu za manukato na maua, ivi zipo bado???
Kapekue mabegi na masanduku ya wanao.... utapata ukweli kama bado zipo....
 
ah ah ah duh uliaibikaje?
Hahahahaha zile za wahindi mungu wangu kuna moja ilinileteaga kasheshe lol.......secret admirer mwenyewe kaniandikia afu kabla sijakabidhiwa ikadondoka na kuokotwa na wengine ......lol
 
ah ah ah duh uliaibikaje?
We acha tu mamito yaani ....bahati ni kuwa admirer mwenyewe aliandika initials tu si jina kamili so kila mwenye initials zinazofanana na hizo alihisiwa yaani nikagaiwa mabofulend kumi8 kidogo acha tu but since haikuwa kweli haikunisumbua sana...........ilikujapotea yenyewe
 
MJ1 naomba uboost memory yangu kidogo (kuna vyakula vinavyorudisha kumbukumbu?).....hii ya secret admirer na initials imetoka wapi...
 
ah ah ah pole mpz yani umenikumbusha xul ukiandikiwa barua unapanda juu ya deka baada ya clasess zen unasoma,unasmile,unasoma upya,unachukua picha unaangalia unaoma full ujinga lol
We acha tu mamito yaani ....bahati ni kuwa admirer mwenyewe aliandika initials tu si jina kamili so kila mwenye initials zinazofanana na hizo alihisiwa yaani nikagaiwa mabofulend kumi8 kidogo acha tu but since haikuwa kweli haikunisumbua sana...........ilikujapotea yenyewe
 
Siku hizi ni mwendo wa sms na facebook..
Yaani acha tu....wa siku hizi hawaupati ule uhondo.

Wajua enzi zile ukiandikiwa barua unachoanza kufikiria ni ule muda jamaa kaketi akiandika hiyo barua........kama alijifungia chumbani, library au wapi mwenyewe kajipinda akiwaza maneno matamu ya kukudanganyia........ ilikuwa na raha yake bana. Haya ya sms hukawii kutongozwa kwa sms ambayo ni forwarded
 
MJ1 naomba uboost memory yangu kidogo (kuna vyakula vinavyorudisha kumbukumbu?).....hii ya secret admirer na initials imetoka wapi...
Nadhani kama nimeelewa swali lako unauliza aweje secret admirer wakati kaweka initials si ndio??

Inawezekana pale ambapo huyo admirer hajakutokea live, na alipanga kujitokeza siku ya kukukabidhi that card lol (at least ndivyo ninavyoamini hadi leo) lol. utoto bwana
 
Yaani acha tu....wa siku hizi hawaupati ule uhondo.

Wajua enzi zile ukiandikiwa barua unachoanza kufikiria ni ule muda jamaa kaketi akiandika hiyo barua........kama alijifungia chumbani, library au wapi mwenyewe kajipinda akiwaza maneno matamu ya kukudanganyia........ ilikuwa na raha yake bana. Haya ya sms hukawii kutongozwa kwa sms ambayo ni forwarded

Na unakubali kwa forwarded sms as well....:becky:
Enzi za SLP unaandika draft kama mara nne kwanza....ukiridhika ndo unahamishia kwenye karatasi za maua/perfumed....:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Hii mada mie hoi

HUyo wa quickie ya kwa job anapata muda wa kiss ya ku-steal kweli au ni anagugumia na shamba tu? NImekula Biringanya siku arobaini nadhani leo nakua kichaa

:redfaces:
 
Hapana Acid hapa nilikuwa namaanisha na hizo quiekies ni sweetest kama isemekanavyo kwa stollen kisses??

Pole kwa bilinganya
 
Na unakubali kwa forwarded sms as well....:becky:
Enzi za SLP unaandika draft kama mara nne kwanza....ukiridhika ndo unahamishia kwenye karatasi za maua/perfumed....:A S-heart-2::A S-heart-2:
Hahahahah St. RR yaani wewe ndo umeielezea kihalisi ile hali .nimecheka mpaka machozi.
 
Hichi kizazi cha Dot Com hakina cha stollen kisses wala nini wako ngangari mtu wangu wewe tu na zilipendwa zako:whoo:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom