Stollen Kisses-------------

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............

Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
 
....♫ pheeewwwww♫ !!!...hapo sasa, 'mwanzo wa ngoma ni lele!'
 
Kaka we acha tu..............am just asking maana ah ama kweli ukimchunguza sana bata......................
 
Bibie umekumbuka enzi za chandimu ............. hahah those day are far gone!
Afu we wajuzi tu hapa (Boy II Men) unasema ati uzee unabisha hodi, mbona
wajizeesha aundio matatizo ya stolen kisses................wanasema 40s is the
new 20s just be happy and love ur self!
 
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............

Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?

Mhhhh!!!! Lol mkoloni bahati mbaya ndio alikuwa anaenda kuchukua kitu kwenye hiyo kona mliyojificha then anawakuta lol!!!!!!!!!
 
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............

Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
habari za asubuhi dada?!......
 
Hahahahhah kaka am in deep, deep love with that little boy of mine lol...........
ha ha ha!
okay back to normal sasa..........
naomba unifafanulie stetiment ifuatayo kwa kiswahili cha kawaida kabisa::angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
 
.........Kaka Bana..... inamaanisha..........je hii inajumuisha na zile huduma za chapchap zinazofanyika maofisini na sehemu nyingine?zile ambazo hutolewa wakati wahusika wakiwa na wasiwasi wa kubambwa
 
hehehehe!
mjadala mpana sana huo
honestly sina uzoefu nao kabisa,may be hiii inatokana na nature ya kazi
 
ha ha ha!
okay back to normal sasa..........
naomba unifafanulie stetiment ifuatayo kwa kiswahili cha kawaida kabisa::angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?

Teamo unakuwa kama Maimuna bana
 
Nilidhani MJ1 anachanganya mambo...kwamba anaripoti wizi wa mabusu yake hapa jf...akidhani ni kituo cha polisi.....
BTW: MJ1 you wanna steal kisses? Here are some few :kiss::kiss:, free for u
 
Stolen kisses are the sweetest....kulikuwa na writing pads zenye harufu za manukato na maua, ivi zipo bado???
 
na zile kadi zinapicha za watu wazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,old is gold kwakweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom