Uchaguzi 2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

Niliambiwa na mtu kuwa ths time ameaga Newala
Mkuu Mkuchika tayari ashatangaza kabisa kuwa naye yupo kwenye mtanange, watu wakamuuliza itakuwaje na uzee huo ukaweza kuwawakilsha walio kuchagua?

Jibu lake lilikuwa kuwa bungeni yeye haendi kubeba mawe au kupasua miamba bali ni akili tu.
 
Hahha nimesoma na mtoto wake yaani majanga tu
 
nipo chama tawala ila huyu mzee nitasema ukweli hafai nafasi hio kabisa, tunahitaji mtu machachari apambane na bulaya
 
Iwapo Mzee Kagoma Anachukua Form Vijana Tutaendelea Tu Kusema Nini
 
Back
Top Bottom