Heee.. Umeshatoroka Milembe tena??Hapo lazima haki ifanyike warudie kupiga kira tena
Mzee Wasira, hivi kweli wewe ndio mtu wa kulalamika wakati wewe ndio umekuwa ukikebehi jitihada za wapinzani kuhusu marekebisho ya tume ya uchaguzi? Ulidhani hayo tunayolalamikia hayakuhusu? Umekanyaga rasimu ya katiba iliyokuwa inaweka mazingira mazuri ya tume ya uchaguzi, unasema Rais hana juisi ya kuwapa wapinzani hivyo wasiende ikulu? Umesahau vipindi vyako vya dakika 45 za ITV kuhusu mchakato wa katiba? yaani katika watu ambao kilasiku nilikuwa naenda kanisani kumuomba Mungu washindwe katika uchaguzi wakwanza ni wewe. Umekanyaga haki za watanzania sasa Mungu amekuonyesha, halafu umekanyagwa na komandoo wa UKAWA wa jinsia ya KE, hiyo ndiyo size yako. Sasa unaenda Star TV kulalamika, kwani hujui mahakama ilipo? Unadhani sisi ndio tumeumbwa kuwa raia wa kawaida tu wewe Ubunge na Uwaziri? Muda uliotumikia serikali unatosha. Acha vijana warejee rasimu ya katiba, wewe ukirudi utatuharibia, kaa pemebeni, Kula pensheni, subiri kupiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa, Yaani wewe umeiharibu Tanzania, nina hasira na wewe. Hili sio tusi ni mtazamo wangu kwako. Tanzania Bila Wasira Inawezekana. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeee!
SABABU;
- Uchaguzi haukuwa huru na haki.
- Kura zilizopigwa ni zaidi ya waliojiandikisha
Source.
MAHOJIANO NA ITV.
Sasa ITV watamsaidia nini? Yeye angewaita waandishi wa habari wote na kujitangazia ushindi, anatakiwa kumuiga Maalimu Sawa sawa?
Vipi fisadi sugu keshaanza ufugaji...??
Naona mnajitekenya tekenya...
Mwenye namba ya Lembeli, anisaidie.
Hapo lazima haki ifanyike warudie kupiga kira tena
Hivi mnaochangia mmesikia alichokisema lakini??
nimecheka aseeWapiga kura: Mzee Wassira wananchi wako tuna shida ya maji. Tukikuchagua tuletee maji
Stephen Wassira: Kwani dawa mnamezea nini?!