Steven Wassira adai hakubaliani na ushindi wa Easther Bulaya

My Uncle Mzee Wassira Nakuomba KUBALI Tu MATOKEO Na Sasa Ni Wakati Wa Wewe Kupumzika Kama Sasa Wazee Wenzio Wa Mkoani Mara Na Ubaki Tu Kuwa Mshauri Wa Chama Chetu Cha CCM. Tunahitaji Mno Mchango Kama Wanao Tunaochipukia Sasa Ktk Siasa Za Kidemokrasia Za Tanzania. Siamini Kama Kweli Umeonewa Uncle Ila Ukweli Ni Kwamba Mwanao Esther Bulaya ANAKUBALIKA KI SERA Na Ni Mzuri Sana Ktk Strategies Na Hata Umri Wake Pia Unamuwezesha Kujituma Vilivyo. Binafsi Nakuomba Usikatae Matokeo Bali Kubaliana Nayo Tu Pumzika, Wekeza Vizuri Sasa Kiuchumi Na Kimaisha Na Walee Wale Wajukuu Zetu Wazuri. Mimi Ni Mwana MARA Mwenzio Na Kwa Jinsi Watu Wa Mara TUNAVYOJIJUA Uncle Ni Kwamba Hata Ukate Rufaa Na Uchaguzi Urudiwe Upya Nina UHAKIKA Kwa Ninavyomjua Esther Bulaya Bado Wana Bunda Watamchagua Tu Yeye Na Usishangae Safari Hii Hata Kura Za Wewe Kushindwa Zikazidi Tu Kushuka Na Kura Za Esther Bulaya Za Ushindi Zikaongezeka. Zingatia Sana Huu Ushauri Wangu Uncle!

Acha tabia za kishoga za kujipendekeza..ungalikua Mombasa ungali wahi olewa mapema!
 
Anajivunjia heshima yake kwa umri wake kugombana na wajuu Zake akapumzike kuna maisha mengine Nje ya siasa
 
Acha tabia za kishoga za kujipendekeza..ungalikua Mombasa ungali wahi olewa mapema!

Kama Sijasahau Hivi Si Ndiyo Wewe ULIYEWAAHIDI WANA JF HUMU KUWA UTAWEKA PICHA YANGU NA KULIWEKA JINA LANGU HALISI? Vipi Huo Mpango Wako UMEFIKIA Wapi? Sina HADHI Ya Kujulikana Na ASKARI JESHI WA CHEO CHA CHINI KAMA KIMO CHA NYOKA ULICHONACHO Wewe. Na Bado NASISITIZA Naomba UWAWEKEE WANA JF HUMU MAJINA YANGU HALISI, PICHA YANGU NA NAMBA ZANGU ZA SIMU. Wewe Unadhani Watu TUNAOTEZA Humu Muda Wetu Bure 24/7? ID Yangu Kuwepo Tu Humu Kama Hivi Ni Neema Tosha. Dada nifah Hebu MSAIDIE Huyu POPOMA Ktk Kunitambua Kwani INAONEKANA ANATAKA KUCHUKULIA UMAARUFU KWANGU. Vipi Leo HUJAPANGIWA Zamu Ya KULINDA Hayo MAPORI YENU Ya HAPO Lugalo? ALIYEKUTUMA USISOME Na UKIMBILIE JESHINI NI NANI? Kaza Buti Na Kuna Trip Ya Kwenda Congo Soon Vipi NIKUUNGANISHE Angalau Na Wewe UKAJIPATIE VIHELA Huko Uje UTUTAMBIE HAPA Mjini? Kama Nilivyokwisha Kuahidi Kuwa NITAKUWA NAKUCHOKOZA Hivi Hivi Tena MAKUSUDI MPAKA NIONE UKIWEKA HAPA PICHA YANGU, NAMBA ZANGU ZA SIMU Na MAJINA Yangu HALISI. Tena Nina HAMU Kweli MEMBERS Wote Wa JF Wanijue MWANAMUME Wa SHOKA KIJANA Wa KITUTSI Wa Nchini Rwanda.
 
Last edited by a moderator:
Chizi kafanya yake nini.Huyu mzee apumzike tu hapo ndo uwezo wake ulipoishia.
 
Mzee Wasira, hivi kweli wewe ndio mtu wa kulalamika wakati wewe ndio umekuwa ukikebehi jitihada za wapinzani kuhusu marekebisho ya tume ya uchaguzi? Ulidhani hayo tunayolalamikia hayakuhusu? Umekanyaga rasimu ya katiba iliyokuwa inaweka mazingira mazuri ya tume ya uchaguzi, unasema Rais hana juisi ya kuwapa wapinzani hivyo wasiende ikulu? Umesahau vipindi vyako vya dakika 45 za ITV kuhusu mchakato wa katiba? yaani katika watu ambao kilasiku nilikuwa naenda kanisani kumuomba Mungu washindwe katika uchaguzi wakwanza ni wewe. Umekanyaga haki za watanzania sasa Mungu amekuonyesha, halafu umekanyagwa na komandoo wa UKAWA wa jinsia ya KE, hiyo ndiyo size yako. Sasa unaenda Star TV kulalamika, kwani hujui mahakama ilipo? Unadhani sisi ndio tumeumbwa kuwa raia wa kawaida tu wewe Ubunge na Uwaziri? Muda uliotumikia serikali unatosha. Acha vijana warejee rasimu ya katiba, wewe ukirudi utatuharibia, kaa pemebeni, Kula pensheni, subiri kupiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa, Yaani wewe umeiharibu Tanzania, nina hasira na wewe. Hili sio tusi ni mtazamo wangu kwako. Tanzania Bila Wasira Inawezekana. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeee!

umetiririka
 
Tena ashukuru mungu kapata kura zaidi ya 200 . Na akileta maneno ya huruma huruma tuna weza kumpambanisha tena na binti mdogo tummalize kisiasa kabisa.
 
Wassira anatia aibu sana.
Utashindwaje na mwanamke?
Aibu kabisa hii.
 
SABABU;
- Uchaguzi haukuwa huru na haki.
- Kura zilizopigwa ni zaidi ya waliojiandikisha

Source.
MAHOJIANO NA ITV.

Huyu dizaina ya Suti anaweza akatupa ufafanuzi flani!, Pengine goli la mkono likitumika lakini halikufua dafu, Matokeo yake kura zikawa nyingi kuliko idadi ya wapiga kura from there we can get something. (Labda angepata robo ya kura alizonazo sasa)
 
My Uncle Mzee Wassira Nakuomba KUBALI Tu MATOKEO Na Sasa Ni Wakati Wa Wewe Kupumzika Kama Sasa Wazee Wenzio Wa Mkoani Mara Na Ubaki Tu Kuwa Mshauri Wa Chama Chetu Cha CCM. Tunahitaji Mno Mchango Kama Wanao Tunaochipukia Sasa Ktk Siasa Za Kidemokrasia Za Tanzania. Siamini Kama Kweli Umeonewa Uncle Ila Ukweli Ni Kwamba Mwanao Esther Bulaya ANAKUBALIKA KI SERA Na Ni Mzuri Sana Ktk Strategies Na Hata Umri Wake Pia Unamuwezesha Kujituma Vilivyo. Binafsi Nakuomba Usikatae Matokeo Bali Kubaliana Nayo Tu Pumzika, Wekeza Vizuri Sasa Kiuchumi Na Kimaisha Na Walee Wale Wajukuu Zetu Wazuri. Mimi Ni Mwana MARA Mwenzio Na Kwa Jinsi Watu Wa Mara TUNAVYOJIJUA Uncle Ni Kwamba Hata Ukate Rufaa Na Uchaguzi Urudiwe Upya Nina UHAKIKA Kwa Ninavyomjua Esther Bulaya Bado Wana Bunda Watamchagua Tu Yeye Na Usishangae Safari Hii Hata Kura Za Wewe Kushindwa Zikazidi Tu Kushuka Na Kura Za Esther Bulaya Za Ushindi Zikaongezeka. Zingatia Sana Huu Ushauri Wangu Uncle!

Wewe mwenzetu unatoka wapi hasa, maana kutoka Rwanda sasa upo Mara!
 
Vituko haviishi nchi hii. Waziri mkongwe wa serikali ya chama TWAWALA analalamikia matokeo ya uchaguzi dhidi ya binti mmoja wa chama cha upinzani ambae hafikishi hata umri wa miaka 40!
 
Mgombea wa CCM (Steven Masatu Wasirra) aibiwa kura na mgombea wa CHADEMA.

Kupata kichekesho kingine kama hiki tuma neno KICHEKESHO kwenda namba 105720
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    79.7 KB · Views: 24
Mambo ya Mbuyu kuangushwa kwa kidole!

Kama Bunda wamemkataa..., kwenye urais angekubalika kweli!?!
 
Aliambiwa aachie jimbo kwa heshima akakataa, leo ameaibishwa na binti yake.
 
Back
Top Bottom