Steve nyerere afiwa

Siri Sirini

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
547
198
Mchekeshaji Steve Mangere(steve nyerere) amefiwa na mwanaye, mtoto huyo aliyefariki ni huyu wa kiume wa sasa, ambaye pia ni watatu kwake yeye na mkewe Zawadi, wa kwanza alifariki, wa pili yupo na huyu wa tatu amefariki, pole sana Steve Nyerere, poleni wafiwa,
ila chanzo cha kifo sijajua, nikipata nitawajulisha.
SOS. Mimi mwenyewe, ni jirani yake
 
pole steve,je,sababu za kifo cha 1 zilijulikana na kutibiwa?kama bado uenda sababu za vifo vyote 2 ni sawa.
 
sababu za kifo cha kwanza sijakijua, ila huyu wanasema atakuwa alivutwa wakati wa kuzaliwa, mana mtoto alikuwa mkubwa mno, sijajua ni kilo ngapi
 
anakaa wapi tuje msibani?

anakaa studio, alikuwa anakaa huku kinondoni hombus kwa chini ambapo nipo mimi, ukifika studio ki2oni kama waenda k/koo njia ya kuingia kushoto kwa mbele, cjawahi kwenda, na wanazika sa10 jioni makaburi ya kinondoni mwembe jini, mtoto ana siku 2.
 
Maskini, RIP baby.
 
Pole sana Steve.
RIP malaika mzuri!
 
Back
Top Bottom