Stephen J.J. Owawa: Naomba kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa juu yangu hapa JF

Kaka kwanza nikuunge mkono kwa mema yote uliyopigania tangu nilipoanza kukusikia nikiwa kidato cha 5 hadi nilipojiunga Udsm kitivo cha sheria wakati wewe ukimalizia mwaka wako wa mwisho pale BCOM.Ninakuamini kwa kuwa daima huwa unaishi kile unachokiamini....
wabunge wengi wanaochaguliwa kuongoza RORYA wamekuwa na ubaguzi wa wazi kwa kuboresha maisha wa wananchi wa RORYA,linapokuja swala la maendeleo wabunge wote huwa wanaangalia UTEGI,SHIRATI,KINESI,Sasa swali linakuja hivi RORYA nzima maeneo hayo ndiyo pekee yanayohitaji maendeleo?

Kumekuwa na tabia nya kuudhi sana kwa wabunge wa RORYA kuwa ukarabati wa barabara unafanywa kwe maeneo wanayotoka wabunge husika yaani UTEGI, BUTURI, NA SHIRATI. LKN maeneo ya KURUYA, KUKONA, KISUMWA, NYANCHABAKENYE, RUHU,Kwa kutaja machache,wananchi wa huko hawawajali mpaka ifike uchaguzi ndo wanapewa tyubu za baiskeli na kununuliwa pombe hivi hii ni haki?

Ligi zote za mpira wa miguu zinachezwa huko huko BUTURI,KOWAK,UTEGI,NA SHIRATI. KWANINI IWE HIVYO? Sasa basi imefika wakati tuligawe jimbo hili la RORYA kuwa majimbo mawili ili na sisi wananchi wa maeneo tengwa tupate uwakilishi!kwasababu jimbo hili linaendeshwa kikabila mno..,tusubiri kidogo kitaeleweka tu:spy:
 
swali kwa mh.mgombea,kwakuwa jimbo hili la RORYA Linaongozwa kikabila sana na ubaguzi wa wazi!je,utafanya jitihada gani kutatua tatizo hili?
 
Tafsiri:
"Owawa,
Achana na mambo ya ubunge kwa sasa.
Jitahidi kwenye kazi zako, bado hujawa na msingi imara kwa maisha yako na nduguzo.
Kwa heri, ni hayo tu ndo maombi yangu kwako ndugu yangu". Mwisho wa kunukuu

My Take: Kwanini wanatumia nguvu nyingi kumzuia Owawa asigombee ubunge 2015?
Owawa I would take every discouraging comment as motivation for leading Rorya come 2015!
Sijui msingi mzuri kwenye maisha tafsiri yake ni nini. Kamanda kaza buti.ukiona nguvu nyingi kama hizi zinatumika against wewe ujue uko sahihi....
 
Na mimi nataka kugombea Mtera kupitia CDM sijui nitapambana na Lusinde au Le Mutuz naomba kura zenu
 
swali kwa mh.mgombea,kwakuwa jimbo hili la RORYA Linaongozwa kikabila sana na ubaguzi wa wazi!je,utafanya jitihada gani kutatua tatizo hili?
Ndo wengi wao wako huko!
Ushawahi kusikia msukuma kawa mbunge mbeya?
au mzaramo kawa mbunge kagera?
Ngumu usivotaka kukubali, mambo mengine hayaepukiki
 
wabunge wengi wanaochaguliwa kuongoza RORYA wamekuwa na ubaguzi wa wazi kwa kuboresha maisha wa wananchi wa RORYA,linapokuja swala la maendeleo wabunge wote huwa wanaangalia UTEGI,SHIRATI,KINESI,Sasa swali linakuja hivi RORYA nzima maeneo hayo ndiyo pekee yanayohitaji maendeleo?kumekuwa na tabia nya kuudhi sana kwa wabunge wa RORYA kuwa ukarabati wa barabara unafanywa kwe maeneo wanayotoka wabunge husika yaani UTEGI,BUTURI,NA SHIRATI.LKN maeneo ya KURUYA,KUKONA,KISUMWA,NYANCHABAKENYE,RUHU,Kwa kutaja machache,wananchi wa huko hawawajali mpaka ifike uchaguzi ndo wanapewa tyubu za baiskeli na kununuliwa pombe hivi hii ni haki?ligi zote za mpira wa miguu zinachezwa huko huko BUTURI,KOWAK,UTEGI,NA SHIRATI.KWANINI IWE HIVYO?Sasa basi imefika wakati tuligawe jimbo hili la RORYA kuwa majimbo mawili ili na sisi wananchi wa maeneo tengwa tupate uwakilishi!kwasababu jimbo hili linaendeshwa kikabila mno..,tusubiri kidogo kitaeleweka tu:spy:
Kama huamini kwenye ubaguzi huna haja ya kuligawa.
Mtoe mbunge kutoka huko kwenu alafu muangalie!
Hata mkiligawa kama mbunge akatoka Nyanchabakenye atapabagua Kukona!
Rejea "dhambi ya kula nyama ya mtu" by Mwl Nyerere
 
Ndo wengi wao wako huko!
Ushawahi kusikia msukuma kawa mbunge mbeya?
au mzaramo kawa mbunge kagera?
Ngumu usivotaka kukubali, mambo mengine hayaepukiki


1.Makongoro Mahanga (Mara) - Segerea/Ukonga
2.Aden Rage (Msomali) - Tabora Mjini
3.Makongoro Nyerere (Mara) -Arusha mjini
4.Augustine Mrema (Kilimanjaro) - Temeke
5. Vincent Nyerere (Butiama) - Musoma Mjina
6.Hezekia Wenje (Rorya)-Mwanza/Nyamagana
7.Hainess Kiwia (Kilimanjaro) - Ilemela
8. Kibaso (Mara/Rorya) - Temeke
9.Rostam Aziz (Lebanon) - Igunga
10. Halima Mdee (Arusha/Kilimanjaro) - Kawe
11.etc

Majimbo mengine watanisaidia wengine...kwa hio mkuu inawezekana, hata OwawaJr akitaka Bunda atapata tu, ili mradi bro wake wa pale Bunda town anawezaanza fanya networks au hata huko huko Bukoba anaweza anza kufanya kweli, sie tunajari ukombozi kwanza and asili si priority!
 
1.Makongoro Mahanga (Mara) - Segerea/Ukonga
2.Aden Rage (Msomali) - Tabora Mjini
3.Makongoro Nyerere (Mara) -Arusha mjini
4.Augustine Mrema (Kilimanjaro) - Temeke
5. Vincent Nyerere (Butiama) - Musoma Mjina
6.Hezekia Wenje (Rorya)-Mwanza/Nyamagana
7.Hainess Kiwia (Kilimanjaro) - Ilemela
8. Kibaso (Mara/Rorya) - Temeke
9.Rostam Aziz (Lebanon) - Igunga
10. Halima Mdee (Arusha/Kilimanjaro) - Kawe
11.etc

Majimbo mengine watanisaidia wengine...kwa hio mkuu inawezekana, hata OwawaJr akitaka Bunda atapata tu, ili mradi bro wake wa pale Bunda town anawezaanza fanya networks au hata huko huko Bukoba anaweza anza kufanya kweli, sie tunajari ukombozi kwanza and asili si priority!

Hahahaaaa...duh!huko anakotoka rostam si mchezo
 
Owawa si mbaya sana,,,!,,,
ILA AJIFUNDISHE KUPATA MAWAZO MBADALA TOKA KWA WENZAKE , MAANA NINAVYOMFAHAMU ANACHOKIAMINI YEYE MARA NYINGI HUWA HAPENDI MWINGINE AMBISHIE ILO NI HATARI MAANA MCHANGANYIKO WA MAWAZO NDIO KUJENGA KITU KIZURI ZAIDI


Mie si Mbaguzi ila majority ya watu wa Rorya wanabehave hivyo? ila nakuomba upokee ushauri huo wa bure maana hapa tunataka ukombozi tu, tunataka majimbo yote ya Mara yarudi kama 1995
 
wapendwa wana jf kuna post iliyoomba cv yangu kwa madai kuwa alikuwa katika utafiti katika wilaya yetu ya rorya na kuzua baadhi ya maswali na majibu ya ukweli kutoka kwa watu tunaofamhamiana katika harakati,nashukuru kwa wale walionipigia simu na wale wote waliotoa majibu ya ukweli kwa kile wananchokijua juu yangu,bado nadhani kuna baadhi ya mambo humu yanahitaji majibu kutoka kwangu au kusema ukweli ili ukweli utuweke huru japo kuna ya kujibu hasa yale ya msingi ila siyo kujibu ya uongo.naomba kujibu haya:


  1. jina: Stephen juma johnson owawa
  2. nilipo: Bukoba-kagera
  3. kazi:mkaguzi (auditor) ofisi ya taifa ya ukaguzi
  4. elimu: Primary-ratia primary school-rorya,sekondary-arwing secondary school-dsm,a-level-shycom shinyanga-eca,chuo,university of dar es salaam (b.com-accounting)
  5. kuhusu kumaliza chuo:nimemaliza udsm 2010 baada ya kufukuzwa mara nyingi kutokana na kupinga sera ya elimu ya juu hasa mfumo dhania ya uchangiaji
  6. kushiririki uchaguzi jimbo la rorya 2010: Nilishiriki katika uchaguzi kupitia chadema kama mratibu wa kampeni wa mgombea ubunge martin ochola ndira kuanzia kuhame kwake nccr kuja chadema na kushiriki kwa mwezi moja kwenye kampeni
  7. kugombea ubunge rorya: Ni haki ya kikatiba kwa mtu yeyote ili mradi atimize matakwa ya sheria

wana jf kama kuna maswali ya msingi na ya ukweli yanayostahili kujibiwa nitayajibu kwa maana ya ukweli wake nilionao na uhalisia wake kutoka kwangu.

Naomba kuwasilisha.
owawa kaza buti but fahamu 2015 watu wengi tuko safarini kuelekea rorya kulikomboa jimbo,binafsi nitagombea kupitia cdm,,nimehitimu udom,nina ambition na nia ya kulikomboa jimbo nikiwa na sera ya rorya kwanza,,,maana yake ni ipi??yoyote atakae shinda kura ya maoni nitamuunga mkono kwa moyo safi kwa kutumia nguvu na fadha yangu ilimradi awe anaipenda cdm,rorya na kuthibitisha kua anaichukia ccm...mimi tayari nimeshaanza mchakato kwa kata za tai na bukura...nami ni mkazi wa sota,,,,owawa goooooooooooooooo.......karibu tufanye siasa natutawasiliana mapema ili kujipanga kwani hatugombei ufito.....
 
1.Makongoro Mahanga (Mara) - Segerea/Ukonga
2.Aden Rage (Msomali) - Tabora Mjini
3.Makongoro Nyerere (Mara) -Arusha mjini
4.Augustine Mrema (Kilimanjaro) - Temeke
5. Vincent Nyerere (Butiama) - Musoma Mjina
6.Hezekia Wenje (Rorya)-Mwanza/Nyamagana
7.Hainess Kiwia (Kilimanjaro) - Ilemela
8. Kibaso (Mara/Rorya) - Temeke
9.Rostam Aziz (Lebanon) - Igunga
10. Halima Mdee (Arusha/Kilimanjaro) - Kawe
11.etc

!
Darisalama ni nyumbani kwa kila mtu!
 
Back
Top Bottom