Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

The Wing

JF-Expert Member
May 10, 2023
638
1,092
Moja kwa moja kwenye mada.

Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo.

Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru wanachukua kama kawaida.

Je, Halmashauri ya Sengerema haioni kadhia hii hadi Waziri Mkuu atembelee huko? Viongozi, Madiwani muwe waungwana.
 
Ilipojengwa ya chato(ya kawaida sana haifikui hata ya singida)watu walilalamika sana. Sengerema nayo ingeshushiwa hio neema malalamiko yangezidi. Hivyo pengine kuna mifano ya stend kama nzega vile
Hivi ukiondoa mbezi Louis nyegezi msamvu misuna singida na nyamhongolo na Dodoma huko kwingine hakuna sitendi
 
Back
Top Bottom