Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.

Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.

Kwa hiyo hayo mabasi nayo yana runway ya kuruka! Pimbi wewe kamwe huwezi fananisha hicho kistend na eti zaidi ya Airport ipi kumbafu mkuu wewe
 
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.

Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.

Unaijua airport kweli wewe?
 
Unaijua eapoti ww au unaongea atu. Ila sishangai kipo kwa washamba lazima waone ni jambo kubwa
 
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.

Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.

ISSUE NI SUSTAINABILITY NA MAINTENANCE FULL STOP(5 YRS UTASHANGA ITAKAVYOKUWA)
 
Wameru siyo majizi kama wachaga
Walimuibia babaako? Pesa zilizofichwa china na mwendazake na sukuma gang ni wachaga waliiba? Report ya CAG na mafisadi ni wachaga? Nyie wasukuma majinga sana sijui wachaga waliwalaga vinyeo,kutwa kuwasingizia ukiambiwa onyesha evidence huna kubwatabwata wezi wa mifugo nyie takataka kabisa.
 
Weka evidence ya unachokizungumza acha kuropoka
 
Walimuibia babaako? Pesa zilizofichwa china na mwendazake na sukuma gang ni wachaga waliiba? Report ya CAG na mafisadi ni wachaga? Nyie wasukuma majinga sana sijui wachaga waliwalaga vinyeo,kutwa kuwasingizia ukiambiwa onyesha evidence huna kubwatabwata wezi wa mifugo nyie takataka kabisa.
Wachaga ndiyo waliliwa vinyeo na wasukuma ndiyo maana wana chuki sana na Magu
 
Back
Top Bottom