tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.