State department wanavyom-value JK

Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kwanza wewe ni mpumbavu, kilaza na limbukeni wa hali ya juu, hii habari ipo online halafu unajifanya wewe sijui uliongea na nani mzushi mkubwa wewe, na Hillary Clinton anakuja Tanzania je huyo rafiki yako amekwambia?

Link ya hiyo habari ni hii hapa US warns Tanzania over impact of Serengeti road - Times LIVE
 
Huyu mfanyakazi wa sttate department kwani anawasilisha msimmamo wa nani? Ya wizara,waziri,nchi,watu au kukindi kipi?Mimi naona huu ni udaku na umbeya ambao ulistahili kujadiliwa vijiweni au sehemu kama klabu za pombe za kienyeji ndiko kuna watyu wenye mawazo finyu yasiyo na mshiko wowote. Iweje mazungumzo kati ya watu wawili wa kawaida kupitia e-mail yawasilishwe kwetu.
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
You love gossiping uh?
Hii haijakaa vizuri hata kidogo, unawezaje kuchora graph kwa point moja? Acha upuuzi na umwambie huyo jamaa yako wa Marekani kwamba na yeye aache umbea na unafiki! Kwani wao mambo wanayoyafanya kwenye nchi za watu ni sahihi na Obama wao? One thing you need to know is whether you like it or not this country is under the presidency of Jakaya Kikwete mpaka hapo itakapobadilika kikatiba sasa acha wivu/majungu na ufanye kila kinachostahili kwa nafasi yako kuifikisha hii nchi another level sio kukaa kupiga umbea chatroom na wamarekani!!! Damn it!
 
Hili ni kosa kubwa kuwasingizia "state department" wamesema vitu ambavyo unavitunga. Chunga sana.
 
wao mbona waliwamaliza wahindi wekundu, leo hii huyo mmarekani anajifanya kuwaonea huruma sungura na nguchiro wa serengeti?
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Hilo liko wazi sana hata watanzania tunaojua kuchanganua mambo tulisha liona hili toka muda mrefu sana
 
Jamaa wako mfuta vioo nini??

Maana wamarekani wengi hata hawajui Tanzania ni kitu gani sasa huyo anayezungumzia barabara ya serengeti lazima atakuwa mzawa ??????:biggrin1:
 
Huyo rafiki yako ni chizi!
Na wewe ni chizi mwenzake!
Be proud of your country buddy!
 
Si ndio rais wenu aliyepitishwa na waTZ Robo ya waliojiandikisha ilopo nikuchukua hatua malumbano hayatasaidia chochote
 
Are you happy your President being insulted and without shame you published it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

To deem ourselves royal to our leaders, without tell them the truth is the stupidity of the decade. Mr. President is insulted by nobody other than himself. Until the day that he will be realising himself as the free man and is the head of free state, like any other state, that he has all the powers hire and fire, that his statement is law, and above all is servant to his people and his people are supporting him. Then he will redeem himself from those insults.
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

I really don't care how angry you are at the current administration nor do I care about your political leanings (although ur signature says it all), however I do care about one thing; Tanzania!

And I stand proud as a Tanzanian and as an African at anytime, any place! So it saddens me when I see a Tanzanian rushing with joy to sahre with the world an insult hurled at his President. Where is your patriotism? how misplaced are your values? How weak can you get?

The level of respect that we accord to our Presidents is not partisan, at your core you must be able to distinguish issues that you look at with a patriotic eye and this will help us all discern politics from the needs of all Tanzanians.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wewe ni mjinga namba moja kwa kukubali kuona Rais wako anatukanwa na unachekelea tu na mbaya zaidi watuletea humu ndani.
i have a hunch kuwa waweza kuwa umepika habari hii...this is too bad kwa kweli.
hata kama humkubali ila level hii naomba watanzania tuipinge.
 
Alichokosea jeykey ni kukubali kwamba akili yake haiwezi kufanya kazi bila ya washauri na baadaye kukubali kuwa washauri wamemshauri vibaya(Makamba magamba). Implication yake ndo hiyo wanamwona mkuu wa nchi kilaza hatuwezi wazuia

Ndo maana nikasema kama wanamwona yuko hivyo basi wamwambie wenyewe, mimi sio mshabiki wake wala sio mshabiki wa chama chake, lakini kumtukana kiongozi wa nchi mbele ya wananchi wake ni kukosa staha.

Hata kama rais ana mapungufu na hata kama tunayajua hatuwezi kukubali rais atukanwe na sababu inayowafanya wamtukane ni barabara ambayo inajengwa ndani ya mipaka ya nchi anayoiongoza.

Ningekuwa mimi ndo ananiambia huo upuuzi ningemuuliza kama hana watu wa kutukanana nao huko mtaani kwake hadi aje amtukane rais wetu.
 
State Department ofisi zao ziko wapi NY?

Angalia usije kuwa umeongea na mtu anafanya kazi "New York State, Department of State" ukafikiri umeongea na mtu wa"US State Department"
 
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Mmmmh.........mfupa hauna ulimi.
 
Back
Top Bottom