Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
elephantpoaching1.jpg

Hiki ndio kichwa cha habari cha gazeti la kesho Jumapili la Daily Mail (Mail on Sunday)


Serikali ya Tanzania inapigwa mkwara na inachafuliwa na gazeti hili kwa sababu serikali ya Uingereza kupitia pesa za wapiga kura wake husaidia miradi ya maendeleo Tanzania kupitia Idara ya department for international development (DFID).

Shirika la ujasusi la Tanzania TISS nalo limeingizwa kwenye huu mgogoro wa wanasiasa na maslahi yao.

Baadhi ya wanaFamilia wa karibu ya Kikwete imetajwa kama inahusika kwenye biashara hii.

Wanasiasa wenye ngazi za juu kwenye serikali ya Tanzania nao watajwa.

Taarifa kwenye hili gazeti zinasema kuwa Ndege iliyomleta Rais wa China mwaka jana iliondoka na shehena za pembe za ndovu.

CCM nayo imetajwa kuwa serikali yake inaachia mambo haya kwani inatafuta pesa za kampeni mwakani.

Aliyekuwa waziri wa Maliasili na Utalii Ndugu Kagasheki ametajwa kuwa ni mwadilifu lakini uadilifu wake umesababisha ondolewe hapo wizarani.

Idara zinaoongoza kwa rushwa kwenye serikali ya Tanzania zatajwa kuwa ni TPA (Bandari), TRA, Jeshi la Polisi, TRA na idara ya wanyama pori, Mahakama, na majaji.

Vyama vya upinzani na hususana chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA nao wamelaumiwa kuwa kimya kwenye masuala haya kwani wasemaji wake/mawaziri wake vivuli haijulikani wanafanya nini kwa kimya chao. Mfano hakuna taarifa zozote toka kwa mwenyekiti wa Chadema, mwaziri vivuli wa SHERIA, MALIASILI NA UTALII, na MAMBO YA NDANI juu ya sakata hili
2

Sina hakika wizara yetu ya PROPAGANDA (wizara ya habari) itajibu vipi hizi tuhuma. Ila natabiri kutakuwa hakuna coordination ya habari na kwa sababu serikali yetu huwa haifanyi kazi weekend tegemea majibu ya ku pianic kuanzia siku ya JUMA TANO next week itakuwa yale yale ya kila mmoja kutoa statements zake mfano...IKULU / SALVA itatoa taarifa kupitia website yake rasmi (michuzi blogspot), WIZARA YA UTALII NA MALIASILI nao watatoa statement ambayo italenga kuonyesha idadi kamili ya tembo japo haijulikani mara ya mwisho walifanya auditing ya hao tembo lini, kisha TRA nao watatoa statement ya kujitetea kuwa kazi yao ni kukusanya kodi hivyo hili gunia la chawa atupiwe TPA ambao wao watasema hawana makosa. CCM kupitia Nape nao watatoa statement ndeefu ya kujitetea kama kawaida ambayo ita contradict idara zote hizo za serikali. Ubalozi wetu kule UK nao watakuwa wamechanganyikiwa kwani FOREIGN watamwambia balozi msimamo wa serikali ni huo uliotolewa kwenye michuzi blog.

<font size="4">


CHADEMA kupitia mwenyekiti wake FREEMAN MBOWE watakuwa hawana cha kusema lakini tegemea mchungaji Msigwa ku capitalize on this subject. Waziri Mkuu Pinda (MTOTO WA MKULIMA) hatosema kitu kwani naye anaogopa kutoa misimamo ambayo inaweza kumharibia na wabunge wa CCM kwenye ambitions zake za 2015...LAZARO NYALANDU atakuwa kimya zaidi ya kutuma msgs kwenye twitter ....privately atasema yeye anasubiri kupewa instruction from STATE DEPARTMENT YA MAREKANI kwani wao wanamtaka agombee urais. MEMBE...well he will do what he always does best....

STAY AWAY FROM ANY CONTROVERSY.


images


TANZANIA SLAUGHTERS OVER 11,000 ELEPHANTS A YEAR FOR THE BLOODY TRADE IN TUSKS
AND ITS PRESIDENT TURNS A BLIND EYE, SO WILL THE PRINCE SHAKE HANDS WITH HIM?


  • -On Thursday, a summit on how to save endangered species begins
  • -Is being hosted by the Government at the behest of the Prince of Wales and Duke of Cambridge at London's Lancaster House
  • -50 heads of state and ministers will attempt to agree a global response
  • Illegal trade in wildlife parts is worth £6bn a year and funds terrorism


In the gilded grandeur of London's Lancaster House this week, the President of Tanzania, Jakaya Kikwete, will be greeted with smiles and handshakes by the Prince of Wales, the Duke of Cambridge, David Cameron and William Hague.

Yet this diplomatic nicety, at the start of a summit on how to save the world's most endangered species, will be a moment of supreme irony. For Mr Kikwete's regime has presided over a slaughter of elephants that is unprecedented in his country's history. Even worse, conservationists insist that many within the Tanzanian government's ranks have been willing and active accomplices in that slaughter.

At Thursday's summit, the most ambitious yet, 50 heads of state and ministers will attempt to agree a global response to an illegal trade in wildlife parts that is worth £6&#8201;billion a year and funds terrorist groups.

article-2554773-1B4BF11E00000578-306_634x479.jpg


China will be the pantomime villain at the summit. Its newly rich middle class, now numbering about 350&#8201;million, buys around 70 per cent of Africa's poached ivory, which they consider the ultimate status symbol. They also buy powdered rhino horn as a cure for everything from cancer to hangovers. Like cocaine in London, it is the cool thing to serve after fancy dinner parties.

At the same time, Africa will be painted as the 'victim' of Asian avarice, and with some justification. It has been plundered on such a scale that an elephant population once numbered in the millions has plummeted to barely 400,000 and rhinos to scarcely 25,000.

But the truth is that in some African states the rich, the powerful and officials at every level are actively colluding with the international criminal cartels that earn billions of dollars from trafficking tusks and horns.

Ministers, law enforcement agents, conservation officials, rangers - those charged with protecting African wildlife are cashing in on its destruction, and nowhere more so than in Tanzania. In the late 1980s, Tanzania, home to Africa's second-largest elephant population, led the war on poaching and championed the international ban on ivory trading that was adopted in 1989. Today, it is the epicentre of the poaching epidemic sweeping through the continent's forests and savannas.

article-2554773-1B4BF11A00000578-642_634x422.jpg


A third of all the illegal ivory seized in Asia comes from or through Tanzania. The country is losing 30 elephants a day, or nearly 11,000 a year. Nearly half the country's elephants have been shot, speared or poisoned since 2007, leaving scarcely 60,000 in total. A particularly shocking report revealed recently that the giant Selous game reserve, a Unesco World Heritage Site that boasted 70,000 elephants five years ago, now has barely 13,000. At the present rate, Tanzania's elephants will be extinct within seven years.

Tanzania is effectively a one-party state with a pervasive intelligence apparatus, and nobody seriously contends that this slaughter is happening without high-level complicity. Yet not a single kingpin has been charged and convicted. MPs, senior officials and businessmen are named in parliament and the media, but investigations fizzle out and little happens.

Illegal ivory is still on sale in markets in the Tanzanian cities of Dar es Salaam and Arusha. Poached tusks from across Eastern and Central Africa flow out of Tanzania's ports without apparent hindrance. Almost all the major seizures of illegal ivory emanating from Tanzania since 2009 - more than 30 tons in total - were made not in the country itself, but in Asia.

The UN is reportedly considering trade sanctions against Tanzania over its failure to crack down on the trade.

'Corruption is a huge problem at all levels,' Alfred Kikoti, head of Tanzania's World Elephant Centre, said. 'From people on the ground all the way up to ministers, there's somebody involved in poaching.'

Peter Msigwa, a clergyman and shadow minister of natural resources, said: 'The government is doing nothing because some of the people supposed to be solving the problem are part of the problem.'

And Mary Rice, executive director of the London-based Environmental Investigation Agency (EIA), agreed, saying: 'None of these networks could possibly operate without complicity at the most senior level.'

Conservationists briefly had cause for hope. In 2012, Khamis Kagasheki, an urbane former ambassador to Switzerland, was appointed minister of natural resources and confronted the ivory traders with unprecedented vigour, declaring: 'We must fight against this scourge at all costs.'

He denounced corruption. He submitted a dossier to the president's office identifying prominent Tanzanians colluding with the poaching syndicates (it has not been acted on). He sacked or suspended about 30 corrupt wildlife officials. He excoriated police chiefs for shielding suspects, and suggested poachers should be shot on sight. He identified at least four MPs suspected of complicity in poaching. Last autumn, he launched a military crackdown which led to hundreds of arrests. Tons of illegal ivory was seized and the elephant slaughter was briefly curtailed.

But the operation was abruptly suspended in November amid claims that soldiers were killing, raping and displacing innocent people. Soon afterwards, Kagasheki and three other ministers were dismissed. Ostensibly this was because of the human rights abuses but few conservationists believe that.

article-2554773-1B4BF09F00000578-613_634x424.jpg


Dr Kikote says: 'If the operation had continued for another month, we would have seen MPs or ministers arrested.' More than 700 wildlife activists have signed a petition demanding Kagasheki's reinstatement. 'It is now clear that his remaining in office would have been a very big threat to those who organise poaching and profit from it and some are in the highest levels of government,' the petition declares.

Contacted by The Mail on Sunday, Mr Kagasheki said he would speak out at some point, but not yet.

Many - perhaps most - officials in Tanzania are honest and committed, but they appear to be fighting a losing battle at every level. In the national parks, poorly paid, ill-equipped and demoralised rangers are easily bought with bribes bigger than their salaries. 'Rangers collude with the poachers by either telling them when patrols will be going out, or helping them pinpoint herds,' the EIA said in 2010.

Environmentalists say ammunition of the sort used by the security forces has been found near elephant carcasses. Poachers have been found with text messages to government officials on their phones. Tusks are sometimes transported to Dar es Salaam and other east coast ports in police or military vehicles that are never stopped at checkpoints, the EIA says.

There, the ivory is put into shipping containers, often concealed in cargoes of soya beans, dried fish or timber, but it is seldom seized because the police, port and customs officials are all involved.

'It is inconceivable for a container loaded with elephant teeth [tusks] to pass through the port in the presence of Tanzania Revenue Authority, customs and port authorities undetected,'
Kagasheki declared before his dismissal.

The names of the big traders in Dar are well known. They include some of the country's richest businessmen, backers and members of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party, and even a close relative of President Kikwete. But they have powerful friends - and judges, prosecutors and police are easily bribed.

The thousands of Chinese now working in Tanzania fuel the trade. Some of the major ivory traffickers in Dar are said to be Chinese. So are many of the middlemen. Last November, three Chinese men were caught at their home in Dar with 1.8 tons of ivory hidden among sea shells filled with garlic. A Channel 4 documentary claimed that when Hu Jintao, the then Chinese president, visited Tanzania in 2010, his officials took illegal ivory back on his plane.

Conservationists say the Wildlife Division is the most corrupt government agency of all, and accuse its officials of selling seized ivory on the black market. They accuse the government of submitting fabricated figures to sell more of that ivory on the international market, ostensibly to raise money for conservation but in reality to fill the CCM's coffers before next year's elections.

Thursday's summit is being hosted by the Government at the behest of the Prince of Wales and Duke of Cambridge. Charles will address the event and Prince William, who spent some of the happiest months of his life in Africa during his gap year and proposed to his wife on a Kenyan reserve, will be by his side.

Environmentalists are hoping that the summit will highlight Tanzania's lamentable record. 'The government has not yet got serious about this,' said one activist. 'There's too much collusion and profit and vested interests at high levels. The only thing that will make them act is international shame and disgrace.'


Source: Tanzania slaughters over 11,000 elephants a year for the bloody trade in tusks and its President turns a blind eye, so will the Prince really shake hands with him? | Mail Online



RELATED NEWS:
Askari wa Operation Tokomeza Ujangili afichua siri kubwa

Askari wa Tokomeza ujangili afichua siri

Na Moshi Lusonzo, NIPASHE

- Aweka wazi madudu ya serikali

- Operesheni ya pili wakati wowote


Askari aliyeshiriki Operesheni Tokomeza Ujangili ambayo ilisitishwa mwaka jana, ameibuka na kutoboa siri jinsi wanavyoyumbishwa na serikali katika kulipa haki yao, pia jinsi mambo yalivyokwenda mrama wakati wa kazi hiyo.

Askari huyo ambaye jina lake tunalisitiri kwa sasa kwa sababu za kiusalama na taaluma, alizungumza na NIPASHE na kueleza kwa kina kinachoendelea nyuma ya pazia juu ya malipo yao, ikiwa ni siku moja tu baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, kusema kwamba askari zaidi ya 2,000 kutoka vyombo vya ulinzi na usalama walioshiriki katika Operesheni Tokomeza Majangili awamu ya kwanza hawajalipwa fedha zao.

Juzi Lembeli alisema katika operesheni hiyo, serikali ilikuwa imetenga zaidi ya Sh. bilioni 3.5 kwa ajili ya kuitekeleza, lakini inashangaza kuambiwa kuwa askari waliohusika wanaendelea kusotea posho.

Jana askari huyo alisema kuwa serikali imekuwa ikiwapa ahadi za uongo kuhusiana na malipo ya fedha zao.

Askari huyo alisema Desemba 20, mwaka jana alipojiuzulu aliyekuwa waziri wa Maliasili na Mazingira, Balozi Khamis Kagasheki na wenzake watatu, Shamsi Vuai Nahodha (Ulinzi na JKT), Dk. Emmanuel Nchimbi (Mambo ya Ndani ya Nchi) na Dk. David Mathayo David (Mifugo na Uvuvi) uteuzi wao kutenguliwa, ndipo walipoondoka katika maeneo ya operesheni na kuelekezwa waache akaunti zao za benki na namba za simu kwa ajili ya kuingiziwa malipo hayo.

Hata hivyo, askari huyo alisema hadi leo siku 46 hawajalipwa fedha hizo na kwamba kila siku wamekuwa wakipigwa kalenda kwa kuambiwa njoo kesho.

Alisema yeye na wenzake wa vyeo vya chini kila mmoja anadai Sh. 2,060,000.

Aliongeza kuwa operesheni hiyo licha ya kuwa na nia nzuri ya kutokomeza ujangili, lakini usimamizi haukuwa mzuri kutokana na mamlaka zote za utawala zilizohusika kukosa uratibu.


Alisema waliokuwa wanauliza juu ya haki zao kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), walielezwa kuwa wahusika ni Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

"Haikuwa rahisi kupata taaraifa muhimu juu ya haki zetu. Tulikuwa tunapata za juu juu kwenye posti (vituo vidogo) vilivyoanzishwa kwa ajili ya operesheni.

Alisisitiza kuwa posti hizo hazikuwa na mamlaka yoyote ya kiutendaji mbali tu ya kuwa ni sehemu ya kuratibu operesheni.

Juzi Lembeli alisisitiza kuwa: "Kusitishwa kwa operesheni hakukumaanisha ukomo wake kwa kuwa askari waliendelea kulinda usalama wa maeneo yale na katika kazi hiyo ambayo wameifanya kwa moyo mmoja mpaka sasa, walitakiwa kulipwa posho zao, jukumu ambalo limesahaulika. Kwa hiyo kamati, inaitaka serikali kuhakikisha kwamba inalipa posho inazodaiwa na askari waliohusika katika operesheni hiyo."

Askari walioshiriki operesheni hiyo ni wanajeshi 480 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Polisi 440, wamo pia askari 440 kutoka Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU), askari wa Wanyamapori kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) na Usalama wa Taifa.

Wengine ni askari 99 kutoka Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) na askari Wanyamapori 51 kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA).

TOKOMEZA KUANZA UPYA

Katika hatua nyingine Serikali jana ilietangaza rasmi kuanza upya kwa &#8216;Operesheni Tokomeza Majangili' awamu ya pili muda wowote kuanzia sasa huku ikisisitiza kwamba itawakumba watu wote wanaojihusisha ujangili pamoja mitandao ya biashara za pembe za tembo na faru.

Akizungumza kwenye mkutano ulioikutanisha serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na taasisi za kimataifa, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema operesheni hiyo itafanyika kwa nguvu kuanzia porini, ofisini hadi majumbani.

Alisema serikali imefanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa opereshehi hiyo baada ya kusitishwa Oktoba 31, mwaka jana kutokana na malalamiko ya kuwapo kwa vitendo vya ukatili, mateso, mauaji ya wananchi wasio na hatia pamoja na upotevu wa mali zikiwamo fedha na mifugo.

Aidha, Nyalandu alitaja maadui wakubwa watakaopambana nao katika operesheni hiyo ni watu wanaotumiwa kuua wanyamapori, wafadhili wa mitandao na pamoja na kuziomba nchi ambazo nyara hizo zinatoroshewa kusaidia kuzirudisha.


Hata hivyo, Nyalandu aliwaambia wajumbe wa mkutano huo kwamba katika zoezi hilo hakutakuwa na dosari zilizotokea awali, badala yake litafanyika kwa weledi na ufanisi.

"Serikali inatangaza kuanzia sasa zoezi la kuwatafuta majangili na wafadhili wa biashara ya pembe za tembo, tutaianza kwa kasi na nguvu kubwa, hakuna tutakayemuacha, tutawakamata majangili wote kuanzia porini, ofisini hata majumbani, hakuna sehemu watakayokimbilia," alisema Nyalandu.

Hata hivyo, alikataa kutaja siku maalum ya kuanza kwa operesheni hiyo badala yake aliwataka wananchi kutoa ushirikiano kwa ajili ya kuokoa nchi dhidi ya watu hao aliowaita hatari.

"Watu watambue tutaingia kwenye mapambano haya muhimu kwa ajili ya nchi yetu, watuunge mkono kuwatokomeza na hatimaye tuwe na wanyama kwa maslahi ya kizazi kijacho," aliongeza.

Akizungumzia suala la askari wanaodai kutolipwa pesa zao kiasi cha Sh. bilioni 1.5 baada ya zoezi hilo kusitishwa, Waziri Nyalandu alithibitisha kuwako kwa deni hilo na aliahidi kulilipa.

Alisema wizara yake inafanya kazi ya kuhakiki deni hilo pamoja na kuhakikisha kwamba wale watakaolipwa siyo waliohusishwa na tuhuma ya ukatili, mateso na mauaji.


"Hakuna askari atakayeachwa bila kulipwa, lakini niweke wazi kwamba watu wote walifanya kazi kutokana na uzalendo wa nchi, hivyo malipo kama yapo ni kitu cha ziada tu," alisema Waziri Nyalandu.

MKUTANO WA JANA

Mkutano huo uliosimamiwa na Shirika la maendeleo la Kimataifa (UNDP) ulijadili njia mbalimbali ya kukabiliana na ujangili nchini pamoja na kusaidia kubuni mikakati shirikishi ya kutokomeza vitendo hivyo ili kuokoa tembo wanauliwa kwa kasi katika hifadhi za Taifa na mapori ya akiba.

Mabalozi waliohudhuria ni kutoka Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, China, Japan na wawakilishi kutoka nchi zingine za Asia. Pia zimo Banki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika, Unesco na WFP.

 
Last edited by a moderator:
Yote yaliyomo katika taarifa hii ni kweli tupu, Watanzania wenyewe watakwambia hivyo. Wazungu hawajiaandikii ovyo hasa katika taarifa ambazo zinaweza kuzua mashtaka ya libel. Wamefanya utafiti na kuzungumza na wanaojua. Ni kweli kabisa, haiwezekani pembe zitokee bandarini bila ya kujulikana. Nchi yetu imeoza kabisa.

Kwa kweli ujinga wa Mwafrika hauna kipimo. Yaani wanaona fedha ni muhimu kuliko urithi wa vizazi vyao vijvyo.

Aghalabu watafaya corruption na Wachina halafu wapate fedha za kununulia magari ya fahari ambayo hakuna hata baarabara za kuyaendeshea!! Bureeeee, kama watoto wadogo!
 
To be honest this Kikwete administration is completely corrupt,It is full of dunces and dummies everywhere.

But what pains me so much is to see the lack of reaction and action from the leaders of the opposition party on this issue. Something tells me that Chadema leaders are in bed with these unscrupulous and corrupt leaders from the ruling party of CCM.
 
Mtahangaika sana Kumchafua Kikwete namSerikali yake. Ila hamtafanikiwa

Hii ni kampeni ya wapinzani wa JK kumchonganisha na jumuiya za Kimataifa. Ila hawatafanikiwa. Wao wenyewe wataishia kumpigia makofi tu
 
Naunga mkono hoja ya DAILY MAIL...hapa CHADEMA walishapiga kelele sana..Long live HAMISI SWEDI KAGASHEKI.
 
UN inanuia kuiwekea Tanzania vikwazo vya kibiashara! The UN is reportedly considering trade sanctions against Tanzania over its failure to crack down on the trade. Sasa UN wakiisha sema hivyo huwa hawatanii!
 
Mtahangaika sana Kumchafua Kikwete namSerikali yake. Ila hamtafanikiwa
Hapana, hapa hoja sio kumchafua Rais wala nini ila ni ukweli kwamba katika kipindi hiki watendaji wamefanya madudu mengi sana, ambayo yameharibu sana Taswira ya Tanzania. Mwezi wa 8 nilipita Doha pale, jamaa mmoja akanitania alioochukua pasi yangu na kujua ni mtanzania "No drugs in your bag"? Nilijiskia aibu sana.

Juzi tumesoma humu Austalia kukamata shehena ya madawa pwani ya Tanzania, miezi michache iliyopita tumesoma meli ya Kijeshi ya China kukamatwa na meno ya Tembo; lakini husikii mtu yoyote kuhukumiwa wa kufukuzwa wala kufungwa.

Kwenye maliasili, tusitie ushabiki hata kidogo. Haiwezekani Meno yafike Bandarini halafu watu wa zamu siku hiyo waendelee kupokea mshahara wa watanzania haiwezekani. Subiri kwenye CCM na CDM, utatia ushabiki wako, lakini hapa nooo!
 
kwa nini hawa wazungu wanamfagilia huyu?

kagasheki.jpg
 
Kwenye maliasili, tusitie ushabiki hata kidogo. Haiwezekani Meno yafike Bandarini halafu watu wa zamu siku hiyo waendelee kupokea mshahara wa watanzania haiwezekani. Subiri kwenye CCM na CDM, utatia ushabiki wako, lakini hapa nooo!
Mkuu, kwani Operesheni Tokomeza ambayo mliigeuza na kuwa ya kisiasa ilitangazwa na nani? Hivi utaweza vipi kukabiliana na majangili ikiwa mnapinga operesheni kama hizo? Tutawanusuru vipi hawa tembo?
 
Mtahangaika sana Kumchafua Kikwete namSerikali yake. Ila hamtafanikiwa

Hii ni kampeni ya wapinzani wa JK kumchonganisha na jumuiya za Kimataifa. Ila hawatafanikiwa. Wao wenyewe wataishia kumpigia makofi tu

Inamaana hawa wapinzani wasio na elimu wamekuwa na influence ya hili gazeti la UK? Mbona daily main na hizo ripoti imewachanganya CCM na CHADEMA pamoja?
 
Kumbe wazungu nao wamesema,basi itakua kweli,mimi wazungu nawaamini sana asee.
 
Back
Top Bottom