Karibu wiki nzima sasa Star tv wamekua wakijaribu kukuza propaganda za kijinga zidi ya CHADEMA na kutengeneza kile wanacho ita migogoro ndani ya chama.
Kwenye taarifa zao za Habari hauwezi ukakosa habari ya kadi ya Slaa au kuwahoji wanao waita wanachama wa CHADEMA ili ionekane CHADEMA kuna migogro. Kisha baada ya hapo inafwata habari ya kuisifia CCM. Hao hao Star Tv wamekua na kipindi kila mwisho wa wiki kwenye kipindi cha tuongee asubuhi wamekua wakichambua weredi wa waandishi wa habari wa magazeti ,kumbe wao ni wanafki wakubwa.
Lakini hamta fanikiwa na njama zenu za kijinga kwani mabadiriko hayazuiwi kwa propaganda ...
My Take:
Muda umefika sasa na hatuhitaji kuomba tena tunakutaka J.J Mnyika uje hapa utuambie, CHADEMA itaanzisha lini vyombo vyake vya habari kwani tumechoka kulalamika.
Yahaya Mohamed najua upo humu uje utolee ufafanuzi madai haya ya wana JF.
Bro ndiyo unaamka saizi huko Marekani.
Ukweli Startv tayari imeanza kujiua yenyewe tena kwa kasi ya ajabu.NAHISI HATA KILE KIPINDI CHA JICHO LETU KATIKA HABARI DIARO ATAAMURU KIFUTWE SOON.Ila hizi propaganda hazitazuia MABADILIKO Kamwe.