Star TV acheni unafiki, propaganda zenu dhidi ya CHADEMA hazitafanikiwa

Hakuna habari ya maana hapa,kwa hiyo chadomo ni miungu? Yaani matatizo yenu yatufanye sie tushindwe kupumua,acha hizo tatueni migogoro yenu
 
Ukweli Startv tayari imeanza kujiua yenyewe tena kwa kasi ya ajabu.NAHISI HATA KILE KIPINDI CHA JICHO LETU KATIKA HABARI DIARO ATAAMURU KIFUTWE SOON.Ila hizi propaganda hazitazuia MABADILIKO Kamwe.
 
Karibu wiki nzima sasa Star tv wamekua wakijaribu kukuza propaganda za kijinga zidi ya CHADEMA na kutengeneza kile wanacho ita migogoro ndani ya chama.

Kwenye taarifa zao za Habari hauwezi ukakosa habari ya kadi ya Slaa au kuwahoji wanao waita wanachama wa CHADEMA ili ionekane CHADEMA kuna migogro. Kisha baada ya hapo inafwata habari ya kuisifia CCM. Hao hao Star Tv wamekua na kipindi kila mwisho wa wiki kwenye kipindi cha tuongee asubuhi wamekua wakichambua weredi wa waandishi wa habari wa magazeti ,kumbe wao ni wanafki wakubwa.

Lakini hamta fanikiwa na njama zenu za kijinga kwani mabadiriko hayazuiwi kwa propaganda ...

My Take:
Muda umefika sasa na hatuhitaji kuomba tena tunakutaka J.J Mnyika uje hapa utuambie, CHADEMA itaanzisha lini vyombo vyake vya habari kwani tumechoka kulalamika.

Mkuu usipige kelele. Star TV ni mali ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kwa hiyo ulitegemea iwapambe CHADEMA? Hiyo ni swa na Tanzania Daima kuipamba CCM.
 
Star tv, anthony diallo, fanyeni wazi wekeni bendera ya ccm kwenye studio yenu. Shame on you star tv. Tumekususa sasa.
 
Kadi ya slaa bado ni issue mbona wataka isizungumziwe wewe ni kikaragosi nini unayependa mtuu na sio sera misimamo na itikadi
 
Yahaya Mohamed najua upo humu uje utolee ufafanuzi madai haya ya wana JF.

Mkuu: Yahaya utakuwa unamonea tu huu ni mpango wa Bosi wao Mwenye Phd feki Dialo kufifisha ukweli.Time will tell.
 
kumbukeni ccm wametoa mmamilioni kwa ajili ya vyombo vya habari kueneza propaganda ndio hizo sasa:target:
 
Mbona sehemu kubwa ya hapa Mwanza tumedelete channel ya Star Tv, huyu Diallo ni opportunist.
Alivyokosa u waziri na later on Ubunge akawa a bit neautral sasa amepata U chairman wa mkoa wa magamba what do you expect for a guy of this nature?.
I strongly support idea ya kuanzisha TV ya Magwanda hata kama tutalazimika kuchangia kidogo, it is high time.
 
mmeshalijua hilli kwa sasa hata watangazaji ni propaganda kwenda mbele jumanne alfajili kulikua na mtangazaji wa kipindi kile cha lafajili yaani utazani kada wa ccm. anaponda mageuzi duh kweli hawa nao ni STARCCM tbc no 2. mi najiangalizia itv bas na cheki movie ukija muda wa bbc narudi huko ila star wanaboa wanasiasa tu.
 
STAR TV ni unafiki sana we angalia KIBWAGIZO chao cha habari wanapeperusha ccm tu WaNAFIKI WAZANDIKI R.I.P STAR TV
 
Ni kweli juz juz wamemuonyesha mwenyekit wa cmm mwanza akikagua mirad ya barabara nikajua tayar kirus kimeingia
 
Hili hata mimi lilinishangaza siku mtu mmoja kutoka tanga alipotaka eti uchaguzi urudiwe kwa kuwa ccm ilisimamisha wagombea wawili mmoja KK na mwingine Dr Slaa kwenye uchaguzi 2010 kwa kuwa Dr Slaa ana kadi ya ccm. Mtu mwenyewe na mazingira alikohojiwa na watu waliohojiwa inaonekana kama walipangwa. Ingawa walimpigia Dr. Slaa simu kubalance hii habari lakini inaonekana kuna kamchezo kana chezwa na Star TV.
 
Wafanya-Biasiasa = Diallo + Rostam (Raphael Shiratu+Bashe)
Therefore:
Freddy Fidelis Massawe aka FredWaaaa and Jakaya Kikwete Unatishaaaaaa

Hence:
Value of X and Y = 0
 
Poor vijana wa chadema mnapenda sana sifa muandikwe vizuri mpo vitani wenzenu wana pesa wana polisi wana media usitegemee uandikwe vizuri hata kidogo.

Mnapenda sifa hata migogoro midogo ya vijana inatumalizia siku na wiki kujadili upuuzi wakitoto wakati tungekua tunajenga chama zaidi kifike mbali watu sasa wamejawa na chuki na haitoki leo.

Kama huna media usitegemee media ya kada wa ccm ikuandike vizuri hata kidogo hata siku moja msitegemee hivyo.
 
Ukweli Startv tayari imeanza kujiua yenyewe tena kwa kasi ya ajabu.NAHISI HATA KILE KIPINDI CHA JICHO LETU KATIKA HABARI DIARO ATAAMURU KIFUTWE SOON.Ila hizi propaganda hazitazuia MABADILIKO Kamwe.

Sasa hivi Star tv itakosa weledi wa kila hali na mali maana itatumika kama mic ya mafisadi,Kuanzia jana imepewa tenda ya kurusha mafanikio hewa ya serikali ya JK tangu 2005, pili hivi sasa viongozi waandamizi wa ccm mkoa wa Mwanza ndio viongozi/wamiliki wa Startv kama Diallo baada ya kukosa ubunge na kukosa jukwaa la kupumulia ndiye Mwenyekiti wa ccm Mkoa na Mkurugenzi wa Startv,Emmanuel Shiratu ndiye afisa Utumishi na utawala wa Sahara Media wamiliki wa Startv,na Mkurugenzi mmoja Samwela anapiga jalamba kwenda kugombea Ubunge uko kwao Ngundu /Kwimba.Wattumishi weledi watakuwa katika mazingira magumu sana ya kufanya kazi katika media za SAHARA.
 
Hadi mwaka uishe wana CHADEMA chombo cha habari mtakachokuwa mnakiamini ni Tanzania daima tu, manake kila chombo kinachowaandika negative mnadai wanatumiwa.
 
Back
Top Bottom