Star times ni mradi wa nani

bamwaiche

Member
Aug 30, 2011
50
8
Binfika nasikitika sana kwa kunyimwa haki ya msingi ya kupata habari kama mtanzania mwingine yoyote. Mwal Nyerere ambaye siku zote watu mbalimbali wamekuwa wakimtumia kama kete ya ushindi na hasa wanasisa alisema mwananchi asiyekuwa na elimu ana maradhi makubwa kuliko maradhi mengine yote. Mimi kukosa taarifa ni sawa na kunikosesha nini kinaendelea Nhini na Duniani kote. Utakumbuka nimesema hii ni haki yangu ya msingi kwa sababu ni ya kikatiba, hivyo kwa kufanya hivyo taifa langu la tanzania halinitendei haki yangu.

Ikumbukwe kuwa TCCRA ilizima mitambo ya analojia na kuwasha mitambo ya dijitali kwa mbwembwe nyingi sana,
pamoja na vitisho. Watanzania pamoja na umaskini wetu tukajikongoja kununua ving'amuzi ili tuone hizo habari kwa ufasha zaidi. Cha kushangaza hizo taarifa hatuzioni, wakati huo umejinyima ili ulipie huduma ambayo pamoja na kulipia hatupati hiyo huduma mhimu.

Ukiwapigia utasikia elekeza antena yako Makongo juu. nakuambia utazungusha hiyo antena masaa hujapata chaneli, ukiwapigia watkuambia tunamleta fundi ambaye mara zote haji na sijawahi kumwona huyo fundi. Pia customer caer wao ni ya ajabu kwa sababu kila unapopiga unamkuta mpokea simu si yle uliyeongea naye mwanzo, naye huyu wa pili ataanza kukuuliza maswali yale yale alioulizwa na mtangulizi wake. ukimwambia nimejieleza kwa mwenzio anasema hujanieleza mimi. kiukweli hawa watu ni mzigo kama bunge la Tanzania.
 
Mimi nawapongeza sana makampuni haya [besic transmission] [sahara midia] kwa kuwajali watanzania,[digitek,inauzwa 160,000] [continento inauzwa,130,000] halafu malipo kwa mwezi ni buuuureeeee,niafadhali kununua,kuliko,[star times]hawafai hawafai wameongeza bei ya vifurushi,hawaja boresha vipindi vyovyote,hakuna cha mahana kabisa kwa vipindi vyao zaidi mastesheni ya uchina tupu,eko digitek vs continento,mchina muda simrefu atakua chali,panukeni mikoani,alafu shusheni bei mfanye hata,70,000,tutawaunga mkono sana,
 
Back
Top Bottom