Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Wadau naomben kujua nimechaguliwa bachelor of medical Doctor katk chuo hiki kuna jamaa ameniambia kuwa st.joseph wanazingua hivi n kweli au?
Wadau naomben kujua nimechaguliwa bachelor of medical Doctor katk chuo hiki kuna jamaa ameniambia kuwa st.joseph wanazingua hivi n kweli au?
Kwenye ada na maswala mengine ya kiuchumi huwa wanazingua mno, ila ukija katika mafunzo wapo vizuri mno.
wapo vizuri tu. Na pia huwa wana sheria kibao ambazo kwa asilimia kubwa, vyuo vya hapa nchini havina.Ni kweli nimeona adazao zipo juu kwel.... kumbe kitaaluma wako vizur sana ee...
wapo vizuri tu. Na pia huwa wana sheria kibao ambazo kwa asilimia kubwa, vyuo vya hapa nchini havina.
ndohivyo. Kama umeshazoea kudoji kuja chuo bila sababu, ujue mwisho wa semester wao wataangalia percentage yako kama imefikia kiwango wanachokihitaji, lasivyo hufanyi mtihani na utabidi urudie semester.Nasikia wanaita majina eti
ndohivyo. Kama umeshazoea kudoji kuja chuo bila sababu, ujue mwisho wa semester wao wataangalia percentage yako kama imefikia kiwango wanachokihitaji, lasivyo hufanyi mtihani na utabidi urudie semester.
Dahhhh ila n utaratibu mzuri sana..
Dahhhh ila n utaratibu mzuri sana..
Ada zao bei gani ndugu,coz taratibu nataka kujipanga nikasome bachelor upya,baada ya bachelor yangu ya sasa kutonisaidia kwa kiwango ninachotaka
Mkuu ulishafika chuoni kufanya registration na kuchukua joining instructions?
Utapata Elimu nzuri kijana, changamoto zingine zipo kila chuo cha muhimu ni wewe kusoma kwa bidii.
mil.6na laki 2 na Kitu kwa MD
mil.6na laki 2 na Kitu kwa MD
haifiki mil 6 mkuu