St. Joseph universty college of health and allied science

Erickson0708

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
207
34
Wadau naomben kujua nimechaguliwa bachelor of medical Doctor katk chuo hiki kuna jamaa ameniambia kuwa st.joseph wanazingua hivi n kweli au?
 
Kwenye ada na maswala mengine ya kiuchumi huwa wanazingua mno, ila ukija katika mafunzo wapo vizuri mno.
 
Nasikia wanaita majina eti
ndohivyo. Kama umeshazoea kudoji kuja chuo bila sababu, ujue mwisho wa semester wao wataangalia percentage yako kama imefikia kiwango wanachokihitaji, lasivyo hufanyi mtihani na utabidi urudie semester.
 
Dahhhh ila n utaratibu mzuri sana..
 
Mkuu ulishafika chuoni kufanya registration na kuchukua joining instructions?

Hapana sijafika bado ila nimekutana na mtu aliwahi kufika pale regstration inaanza tar 5 mwez huu had tar 5 mwez wa 11 den masomo yanaanza tar 9 mwez wa 11...
 
Back
Top Bottom