Spot The Difference

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
363
haya wakuu, can somebody tell me why my fb page ipo tofauti na za kwenu? trick to be shared mkijua :biggrin:

6xrjmg.jpg


1zzjssg.jpg
 
not quite chief-mkwawa ila nimeweka snapshot ya pili ambayo ipo kwa computer ya kawaida. kuna utofuti nikitumia kwa kompyuta yangu na ya mwingine..
 
Last edited by a moderator:
Hehe mimi pia natumia adblock mkuu, sioni tangazo lolote kama weye. That's the diference hapo.
 
adblocker yah nazijua si unazipa resolution ya banner la ads au kuna nyengine zinadetect automatic?

Then mc afee pia inafanya hivo kwenye website isio zitrust kama piratebay
 
adblocker yah nazijua si unazipa resolution ya banner la ads au kuna nyengine zina detect automatic?

Then mcafee pia inafanya hivo kwenye website isio zitrust kama pirate bay

mwaka 2010 mpaka 2011 nilikuwa naongeza mwenyewe, lakini siku hizi inafanya automatic disable ya ads. nazichukia mno ads haswa za google search, fb na youtube.

Hehe mimi pia natumia adblock mkuu, sioni tangazo lolote kama wewe. That's the difference hapo.


kweli kuna wajanja kama mie hapa jamvii. nawapa rep+ wakuu, mko vizuri
 
mwaka 2010 mpaka 2011 nilikuwa naongeza mwenyewe, lakini siku hizi inafanya automatic disable ya ads. nazichukia mno ads haswa za google search, fb na youtube.

nimegundua hawa facebook watakua wanaeka spyware kwenye button zao za like na share manake vitu ninavosearch google nakuta wao washaniekea ads zinazofanania nazo kila nkiingia facebook wanaboa sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom