Spika wa Bunge kutengua adhabu ili wabunge wahudhurie Hotuba ya Rais

Warudi wasirudi yote ni sawa tu kwani hata wakirudi inawasaidia nini?kwani wakirudi kutakua na mjadala hapo wa miswaada waliyoipinga?majibu wanayo wenyewe!
 
Kweli makinda ana stress kichwani kwake, kuwa huna mume nayo inachangia
 
Teh teh teh teh Kiinua mgongo?kwani migongo yao imepinda?
AKILI ZAO ZIMEPINDA
kwenye Kamati wanaunga mkono
ikitokea TV camera wanaanza kupinga kila kitu
mbona posho ya kiinua mgongo kakataa Zitto peke yake (maana nikisema ni ruhswa ya kuryudi Bungeni BAVICHA mtakuja juu)
Kifupi hakuna atakayewabembeleza kurudi, kwani lengo la kupitishwa kwa Muswada limeshatimia na lilikuwa ni la kibabe ambalo wengi hatukulipendelea, sasa mpiganaji unayemtegemea kalegea akisikia Pesa kagangamala wapi na wapi
 
Makinda na ccm yke ni kikwazo kwa maendeleo ya taifa, bunge limekuwa mhuri wa serikali kupitisha uchafu wao
 
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa kuna mpango wa haraka unaandaliwa ili kutengua adhabu iliyotolewa kwa wabunge zaidi ya 35 kutohudhuria vikao vya Bunge.

Sababu hasa ni kuwa inavyoonyesha ni kuwa hata wale ambao hawana hiyo adhabu nao wameamua kususia ili kuwaunga mkono wenzao na jambo hilo litakuwa la aibu sana kwa Bunge na Rais kuhutubia wabunge wa CCM Pekee ilihali nchi inajinadi katika jumuia ya kimataifa kama ya demokrasia ya vyama vingi.

Ikumbukwe pia hotuba ya kuvunja bunge kwa JK itakuwa kama ya kuhitimisha uongozi wake na mahusiano yake na mhimili huu unaowakilisha wananchi.

Kinachoogopwa ni picha gani itajengeka kwa mataifa mengine wahisani ukizingatia kutakuwa na mwaliko wa mabalozi na wawakilishi wa mashirika wahisani.

Nikipata updates au yeyote basi tuziweke ili tuone huu mtanange unaishaje ili kuokoa aibu kwa kiongozi wa nchi.

Watarudi vipi Bungeni wakati miswada waliokuwa wanailalamikia itakuwa imepitishwa? Labda wafute Hansard zote zilizoendelea pasipo kuwepo Wabunge wa Upinzani Bungeni hapo wanaweza kuelewana
 
Duh! Aisee, wjay goes around comes back around. Wakati anazindua bunge hawa jamaa walitoka. Sasa anakuja kulivunja, spika kawafukuza. Haya bwana. Kazi ipo.

Kinauche, hii kitu haitaishia hapa! tegemea rais ajaye toka upande wowote ule (either UKAWA au CCM) watakao kuwa wapinzani watatoka hadi ustaarab wa kisiasa utakapo patikana nchi hii. in short tujiandae kuona ugoro zaidi ya hii!.
 
wapinzani wanahangaika sana, hakuna atakaye wabembeleza, mboana hata wakati wa kufungua walisusia wakidai hawamtambui raisi
 
Msiseme wapinzani,semeni watanzania tunafanyiwa nini na wachache tuliowachagua watuongoze
 
Back
Top Bottom