KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,716
- 12,076
Kashilila alitaka kuficha pembe la ng'ombe.
Sasa wamemgeuka.
Sasa wamemgeuka.
Nimesema ni wezi hao period!!!!Yani anasema sababu mojawapo ya kupandisha ni kupanda kwa gharama za malazi DODOMA,eti kuna wabunge wengine walishindwa hata kulipia hoteli,amesahau kuwa kuna wananchi huko kijijini kwake hawana hata hilo jamvi la kulalia,wanawaza kesho yake watapata wapi mlo mmoja huku yeye anaongelea malazi!!Mmmh ama kweli CHUKUA CHAKO MAPEMA!!
CHADEMA njoo na sera mpya za utawala wa nchi hii tuwapige chini wezi woote wa CCM Tanzania!!!!!! Majibu mbona tunayo!!!!posho milion 6
mshahara milion 7.5
fuel allowance kila lita 2500
posho ya stationery
mfuko wa jimbo
posho ya ujumbe wa kamati za bunge mara 2 mbili
posho za ujumbe wa bodi
posho za safari za kamati
Source plese?
Ana interests zipi kwenye posho hizo?Kashilila alitaka kuficha pembe la ng'ombe.
Sasa wamemgeuka.
....Katika siku ambazo nimewai kujisikia hasira,huzuni,kukata tamaa na hii nchi ni leo,pale kiongozi anayekosa mshipa wa aibu na huruma kutamka hadharani kuwa wameongeza posho kwasababu ya kuwasaidia wabunge kupambana na maisha magumu wakiwa hapa Dodoma,ati kwasababu gharama za maisha zipo juu...Kiongozi huyu anatoa tamko hilo as if Dodoma ni mkoa uanokaliwa na wabunge tu kwahiyo maisha hayo magumu yanawasumbua wao tu wakati kuna watanzania wengi tunakufa kwa njaa hapa DODOMA..
....Kwasababu ya haya yote naomba kutoa rai kwa chama changu nikipendacho CHADEMA watoe tamko juu ya hili,na Je,wao wanachukua au walichukua hizi posho au la.LA SIVYO!! Kwa kweli dhambi hii kwa wananchi maskini itakuwa juu yao pia na tutapoteza imani kwa watanzania wengi...pia itakuwa ni unafiki mkubwa sana,ambao sipendelei uonekane kwetu...Akina Dada yangu mpenzi Regia,Kamanda Mnyika,Kamanda Zitto,Dr wa ukweli naomba tupate matamko yenu please...
Nawasilisha!!!
Hili tatizo la kupinga pinga, linazidi kukomaa miongoni mwa magamba, Wabunge walisema zimeongezwa, katibu akapinga, leo Maddam speaker anakiri zimeongezwa! sasa yule Kashilila sijui anajiskiaje huko alipo, maana hatutarajii Dr. mzima kudanganya kitoto toto namna hiyo
Angejua wananchi walivyo na hasira nao.