Spika Tulia: wanaojitolea wapewe kipaumbele kwenye ajira!!

roadmaster

JF-Expert Member
Mar 21, 2023
1,484
2,572
Mheshimiwa hii kauli uliyoitoa bungeni huenda ikaleta migogoro katika jamii.

Nina uhakika hujui ulichokiongea au hujakifanyia tafakari ya kutosha!

Ninachofuata hapo watakao pata hizo nafasi za kujitolea huko halmashauri watakuwa ni wazito tu! Sio makapuku ninaowajua mimi hata kama Wana uwezo, nafasi zitakuwa za watu Fulani Fulani tu.

Nashauri,kujitolea isiwe added advantage ,Kwa kuwa nafasi za kujitolea ni chache mno ukilinganisha na wahitimu.

Acha watu wapambane kwenye usaili .
 
Usijari mkuu, ajira utapata tu, unawasiwasi gani kwani!
 
Tunashukuru kwa maono yake ,na sisi wengine tayari tumeanza kula asali,ila ile miaka saba ya kujitolea si mchenzo
 
Back
Top Bottom