Spika Tulia akataa Wabunge kuendelea kutoa pongezi kuokoa muda

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.

Muda wa mbunge kuchangia upunguzwe mpaka dk kumi. Comments ziwe fupi fupi ili wabunge wengi zaidi wachangie.
 
"Kwanza nitoe pongezi Kwa Mama yetu ######" ( Dakika 13 zimekatika)

" Sasa naomba nichangie Mada iliyopo mezani, yaani Kwa machungu kabisa nasema ##""#£#*###......"
( Dakika 2)

( Mara dakika zimeisha)
"Mh Spika naomba uniongezee Muda kidogo ili nimalizie kuchangia jambo ni la Muhimu sana Kwa maslahi mapana ya taifa letu ..........................."

WTF
 
Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.

Kwani lile ni Bunge au kijiwe cha Wasaka fursa wa CCM;angewapa tu siku ya leo yote au wiki nzima Ili wampongeze!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
"Kwanza nitoe pongezi Kwa Mama yetu ######" ( Dakika 13 zimekatika)

" Sasa naomba nichangie Mada iliyopo mezani, yaani Kwa machungu kabisa nasema ##""#£#*###......"
( Dakika 2)

( Mara dakika zimeisha)
"Mh Spika naomba uniongezee Muda kidogo ili nimalizie kuchangia jambo ni la Muhimu sana Kwa maslahi mapana ya taifa letu ..........................."

WTF
Kule kuna majitu majinga tupu
 
Back
Top Bottom