Spika Makinda anapata maelekezo kutoka nje ya bunge - Dr Slaa

Spika Makinda kiti chake kinayumba siyo siri tena.Ni huyuhuyu ambaye hukalia miongozo bila kuitolea ufumbuzi,sasa unamteteaje makinda kwamba hapati maelekezo kutoka nje ya bunge? Lema alisema pinda kalidanganya bunge, hadi leo hatujui yupi mwongo kati ya LEMA n Pinda halafu unasema huyu bi Kilembwe anafanya vizuri.
 
Ndio maana mzee mtei hamkemei Lema uzembe wake wa kukichafua chama kwa matusi bungeni wanajuana kuwa wote ni majambazi wachumia tumbo.

Sishangai maneno haya...kwa sababu CCM ilishasema ni wakati wa Mwanamke...na maneno ya wanawake tunayajua....hivyo siwashangai ni zamu yenu
 
CDM Mtatawala namna gani nchi hi? Mihimili yote ya dora hamiiamini, hamziamini mahakama, serikali na watumishi wake na sasa bunge. ni kweli hamuwaamini au mnatuzuga wananchi?

Mukiingia madarakani itakuwa kimbembe maana msiowaamini wote mtawaweka pembeni kuanzia Polisi wote, Usalama wa Taifa, Mahakimu wote, Wabunge wote wa upinzani hamtakuwa na ushirika kama mfanyavyo sasa.

Kwani Mungu anawapenda wenye dhambi....?
Kwani amewaacha....!
 
CDM Mtatawala namna gani nchi hi? Mihimili yote ya dora hamiiamini, hamziamini mahakama, serikali na watumishi wake na sasa bunge. ni kweli hamuwaamini au mnatuzuga wananchi?

Mukiingia madarakani itakuwa kimbembe maana msiowaamini wote mtawaweka pembeni kuanzia Polisi wote, Usalama wa Taifa, Mahakimu wote, Wabunge wote wa upinzani hamtakuwa na ushirika kama mfanyavyo sasa.

Wanawalaumu ili wabadilike waache kutumika...nchi zote za Kiafrika huwa zinapitia uonevu na kadhia hizi kukiondoa chama tawala...
by the way usiishi kwa hisia zaidi...jaribu kufikirisha ubongo wako hata kwa nusu saa tu...Yatosha!
 
CHADEMA imeanika udhaifu wake wote kwenye kikao hiki cha bunge;1) hotuba ya kiongozi wa kambi ya upinzani imeonesha ni jinsi gani chama kilivyokuwa kitupu kwenye think tank yake. 2) michango ya wabunge wake imeonesha wazi kwamba na CHADEMA inapalilia mgogoro wa kidini na kujiemeza kwenye ukristo ili ipate kuungwa mkono. 3) Vurugu zimetawala bungeni ikiwa ni pamoja na kutokuendesha siasa za kistaarabu. Mwisho wa yote inaonekana kwamba CHADEMA ni domo kaya tu maana wameshindwa kuvunja maamuzi ya spika ya kuwafungia wabunge wake. In short niko tayari kumpigia kura hata mgombea wa PPT Maendeleo kuliko wa Chadema ambayo inaonekana wazi kwamba inataka kutugawa badala ya kutuunganisha.

CCM ndio imeshatugawa kwa maneno yake....kinywa huumba...what you preach is what people take heed of!
Haya mnayokazana kuyahubiri yatawagharimu in the near future!
 
Don't generalize sema ni wewe na familia yako. Kwa hili Chadema wamekosea. Hawawezi kusema rais ni mdini eti tu kwa kuangalia uteuzi wa nafasi za uongozi.Kibaya zaidi hao wabunge hawakuwa neutral ila wameonesha wazi wako upande wa kutetea maslahi ya Ukristo. Wewe ndio unayeelekea kuwa mnafiki kwa kumuunga mkono mtu au chama ambacho kinataka kuendeleza mgogoro kwa watanzania.

Amezungumzia lini masuala ya uteuzi.....mbona mnalisha watu maneno.....wanaojikanyaga kujibu hoja ambayo imewekwa kando mpaka uthibitisho ndio wanajichanganya na hayo ya uteuzi.....ndio wamezidi kuharibu na kuipaisha hoja ya mfumo kristo!
 
tunamfahamu tangu akiwa mwizi wa magari hapa alisha hana jipya yule

Arusha umeipa Nickname au?
Mbona hamkuwahi kumfikisha kwenye vyombo vya sheria....kumbe sio wazalendo mnalea majambazi.....shame on you!
 
boston Mbali sana! Nani alifungia watutsi kanisan akawaua kisa tu wanapua na sura ndefu wakat wote mna Imani moja kuwa mungu ana Mama na Mtoto!
oooh! kumbe yale mauaji chanzo ni dini? utafiti wako umefanyia wapi?
 
kwa mtu makini hahitaji aambiwe kwamba kiongozi gani ni mdini na yupi c mdini,kama kweli kiwete c mdini iweje maafa yanatokea anashindwa kuyashughulikia kwa mda wakati yeye ndio tumemkabidhi dola alinde haki za binadamu, ndugu wanajamii wenzangu tukumbuke ni mwezi ulioisha jukwaa la wakristo alitoa waraka uliokua ukiituhum sirikali kwa kutochukulia hatua matukio kadhaa ya kuwanyanyasa baadhi ya viongozi wa dini sasa kwa mantiki hiyo ni nani mdini, Kama kweli mzee wa kaya c mdini na anania ya kumaliza tatizo la udini iweje hadi leo aliyempiga risasi padri Mkenda hajakamatwa wakat wanausalama wapo? iweje makanisa yanachomwa halafu sirikali inasingizia wahuni badala ya kutafuta tiba ya kudumu? Iweje aliyemuua Padri wa zanziba hajakamatwa? iweje udini ufike hadi kwenye taasisi za elimu? (rejea Kibiti High School) nani kaulea udini huu nani mwenye mamlaka ya kukomesha? kama Silaa ndo muasisi wa udini kwa nini hakukamatwa mapema?
 
Hapana. Namweshimu sana Father Slaa lakini kwa hili sikubaliani naye. Sidhani kama kila jambo analofanya Anne Makinda ni instructions kutoka nje ya Bunge. Inawezekana akashauriwa kutegemeana na unyeti wa chombo chenyewe lakini pia tumwona kwa macho ukosefu wa nidhamu wa bunge uliopitiliza. Yawezekana spika anaupande wake wa lawama lakini tusijenge taswira kuwa wabunge wako sahihi, Wnatuhuzunisha ingawa tunashukuru, kuwaona LIVE maana inatusaidia kuwajua vizuri ni watu wa namna gani, nani mwenye hekima, nani mwenye busara, nani hana adabu. Haiwezekani mbunge kila ukisimama wewe ni kumdhihaki Mheshimiwa Rais tena kwa kumtaja kuwa eti ni dhaifu ni mdini au wabunge kuitana Mbwa halafu tunamlaumu spika. Tuwe wakweli tusiwatetee wabunge wanamakosa makubwa kuliko spika, Tusioneshe mfumo dume, Mama makinda amejaribu kuweka historia tuna spika mwanamke. Alikuwa naibu spika kwa miaka mitano na wengine waliwahi kumsifia huko nyuma sasa ghafla wanaanza kutembeza propaganda eti kiti cha spika kinayumba. Tuwe wakweli maana Mungu anajua ukweli na sisi tusimamie ukweli tusije tukahukumiwa kwa kuhukumu. Tumpe ushirikiano mama Makinda

Kama serukamba angefungiwa wala kusingekuwa na pang'ang'a,je kwa nini aendelee kudunda? Je unahabari watoto wameanza kutukanana kwa tusi lile,je jamii imejengwa kwa tusi lile?kuweni makini na kauli zeni dhidi CHADEMASIS
 
Hapana. Namweshimu sana Father Slaa lakini kwa hili sikubaliani naye. Sidhani kama kila jambo analofanya Anne Makinda ni instructions kutoka nje ya Bunge. Inawezekana akashauriwa kutegemeana na unyeti wa chombo chenyewe lakini pia tumwona kwa macho ukosefu wa nidhamu wa bunge uliopitiliza. Yawezekana spika anaupande wake wa lawama lakini tusijenge taswira kuwa wabunge wako sahihi, Wnatuhuzunisha ingawa tunashukuru, kuwaona LIVE maana inatusaidia kuwajua vizuri ni watu wa namna gani, nani mwenye hekima, nani mwenye busara, nani hana adabu. Haiwezekani mbunge kila ukisimama wewe ni kumdhihaki Mheshimiwa Rais tena kwa kumtaja kuwa eti ni dhaifu ni mdini au wabunge kuitana Mbwa halafu tunamlaumu spika. Tuwe wakweli tusiwatetee wabunge wanamakosa makubwa kuliko spika, Tusioneshe mfumo dume, Mama makinda amejaribu kuweka historia tuna spika mwanamke. Alikuwa naibu spika kwa miaka mitano na wengine waliwahi kumsifia huko nyuma sasa ghafla wanaanza kutembeza propaganda eti kiti cha spika kinayumba. Tuwe wakweli maana Mungu anajua ukweli na sisi tusimamie ukweli tusije tukahukumiwa kwa kuhukumu. Tumpe ushirikiano mama Makinda

sasa kama kwani wabungee wameenda bungeni kusifia rais? kama ni dhaifu wasiseme? wkup....pamekucha...huu sio wakati wa kuabudiana.
 
CONSTITUTION is an absolute solution to this problem.

Hili suala la mihimili kutokuwa huru tumekuwa tukilizungumzia kila siku, Mama huyu walimuweka makusudi kabisa,walimtoa sitta ambaye alikuwa mwiba kwao na wakamuweka huyu mama. kwa kweli mihimili ya bunge na mahakama bado sio huru kabisa. kwenye katiba mpya tunataka speaker awe mwanasheria aliyebobea , asiye na chama, na achaguliwe na tume ya kijaji (kwa kufanyiwa interview) na baadaye kuthibitishwa na bunge,
 
CHADEMA imeanika udhaifu wake wote kwenye kikao hiki cha bunge;1) hotuba ya kiongozi wa kambi ya upinzani imeonesha ni jinsi gani chama kilivyokuwa kitupu kwenye think tank yake. 2) michango ya wabunge wake imeonesha wazi kwamba na CHADEMA inapalilia mgogoro wa kidini na kujiemeza kwenye ukristo ili ipate kuungwa mkono. 3) Vurugu zimetawala bungeni ikiwa ni pamoja na kutokuendesha siasa za kistaarabu. Mwisho wa yote inaonekana kwamba CHADEMA ni domo kaya tu maana wameshindwa kuvunja maamuzi ya spika ya kuwafungia wabunge wake. In short niko tayari kumpigia kura hata mgombea wa PPT Maendeleo kuliko wa Chadema ambayo inaonekana wazi kwamba inataka kutugawa badala ya kutuunganisha.
Waafrika bwana kwanini kama hupendi ccm usitie nguvu kwenye chama cha upinzani chenye nguvu kuliko vingine?
kama kwa mfano unahisi we ni mpemba na pengine hicho chama wapemba ni wachache lakini mnaruhusiwa kujiunga, kwanini msishawishiane mjiunge kwa wingi ili na nyinyi muwe na nguvu kwenye hicho chama kuliko kufikiria kukihujumu tu, huko ni kujitafuna mwenyewe
 
Hapana. Namweshimu sana Father Slaa lakini kwa hili sikubaliani naye. Sidhani kama kila jambo analofanya Anne Makinda ni instructions kutoka nje ya Bunge. Inawezekana akashauriwa kutegemeana na unyeti wa chombo chenyewe lakini pia tumwona kwa macho ukosefu wa nidhamu wa bunge uliopitiliza. Yawezekana spika anaupande wake wa lawama lakini tusijenge taswira kuwa wabunge wako sahihi, Wnatuhuzunisha ingawa tunashukuru, kuwaona LIVE maana inatusaidia kuwajua vizuri ni watu wa namna gani, nani mwenye hekima, nani mwenye busara, nani hana adabu. Haiwezekani mbunge kila ukisimama wewe ni kumdhihaki Mheshimiwa Rais tena kwa kumtaja kuwa eti ni dhaifu ni mdini au wabunge kuitana Mbwa halafu tunamlaumu spika. Tuwe wakweli tusiwatetee wabunge wanamakosa makubwa kuliko spika, Tusioneshe mfumo dume, Mama makinda amejaribu kuweka historia tuna spika mwanamke. Alikuwa naibu spika kwa miaka mitano na wengine waliwahi kumsifia huko nyuma sasa ghafla wanaanza kutembeza propaganda eti kiti cha spika kinayumba. Tuwe wakweli maana Mungu anajua ukweli na sisi tusimamie ukweli tusije tukahukumiwa kwa kuhukumu. Tumpe ushirikiano mama Makinda

kaka umelipwa shigapi mbona wewe ni mtu wa ajabu, You think all of as are as brainless as you,It is better you keep quiet than exposing your shallow mind, go and do your research well, the system of ccm is falling apart there is no way to redeem it,
 
Back
Top Bottom