Spika Makinda kiti chake kinayumba siyo siri tena.Ni huyuhuyu ambaye hukalia miongozo bila kuitolea ufumbuzi,sasa unamteteaje makinda kwamba hapati maelekezo kutoka nje ya bunge? Lema alisema pinda kalidanganya bunge, hadi leo hatujui yupi mwongo kati ya LEMA n Pinda halafu unasema huyu bi Kilembwe anafanya vizuri.