Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

Ndugu zangu wa Zanzibar msimlaani huyu dada Makinda, mwenzenu huyu ni MGUMBA hana uchungu na wana wa nchi.
Mwanamke ambaye hakupata ugumba kwa mapenzi yake anakuwa na uchungu na wana wa nchi. Huyu dada Makinda ni tofauti na mwanamke kama huyo, msameheni bure.
 
sasa unakataa Kwamba tulivamia uganda kuondoa IDDI amini kwakuwa anajenga vyuo vya kiislam?

Balozi wa Mozambique alisema vita ile aliekuwa anairatibu siku nyingi ni Rashid Kawawa "Mkristo"!

Ujinga umerithi toka kwa kiongozi wa dini yako aliekuwa Ummy akiwa hajui kusoma wala kuandika!!

Ungekuwa mzima ungejiuliza Misikiti iliyojengwa somalia...nani anaeionea gere? au inawasaidia nini waislamu wa somalia?

Narudia tena ....stori za kwenye vijiwe vywa kahawa achana nazo!!
 
mijadala kama hii huwa inashusha sana PR za watu. ngoja nikae pembeni mie!
 
Ina maana huku ipata? Alisema waliokufa wapo MBALI KULEEE na sio hapa karibu kama chamwino au mjini hapa, Kama ingekuw ahapa karibu angehairisha bunge ila kw akuw ani mbali kuleee hakuna hoja.

Sijui Makinda alimaanisha nini iliposema kuwa wangeahirisha bunge kama janga hili lingekuwa limetokea karibu lakini kwa kuwa limetokea mbali huko hawawezi kuahirisha. Haya ndiyo matamshi yanayoleta chuki na tafsiri hasi kati ya bara na visiwani. Labda ana kisirani moyoni kuwa Zanzibar ni nchi inayojitegemea, hivyo ni sawa na Taifa jirani la kigeni, ni maafa kama ya yale ya Kenya ambayo pamoja na Watanzania kuhuzunika sana lakini hakuna shughuli iliyosimamishwa.
 
Ndugu zangu wa Zanzibar msimlaani huyu dada Makinda, mwenzenu huyu ni MGUMBA hana uchungu na wana wa nchi.
Mwanamke ambaye hakupata ugumba kwa mapenzi yake anakuwa na uchungu na wana wa nchi. Huyu dada Makinda ni tofauti na mwanamke kama huyo, msameheni bure.

Jamani, msiongee uwongo. Toeni sababu nyingine, Anne ana watoto jamani wa kuwazaa yeye mwenyewe!
 
si unajua mavyuo vya makanisa tunatoa kodi yetu Ule MOU. mkataba wa kinyonyaji uliofungwa na LOWASA.kwa hivyo usishangae ukaona st zinakuwa, waislam tunachangia kodi ktk hivyo vyuo vya kikiristo

Hata kama unayosema yangekuwa ya kweli, sioni kama kuna ubaya maana mnasoma katika vyuo hivyo pia. Ukiongelea faida zitokanazo na vyuo, shule na hospitali za makanisa, wananchi wote, waislam na wakristo, wote wanafaidi sawa japo wakristo wanachangia zaidi.
 
Msimamo wangu utaupata baada ya mimi binfasi kuona hoja za pande zote mbili za shillingi. Usiwe na jazba.

Ingekuwa vyema mleta mada akaweka bandiko la ANNUR kwa hayo ayasemayo humu.

Najua hapo huwezi sema lolote kwa sababu,mtuhumiwa ni wa upande wako ila unaumia sana moyoni,pole sana ndugu yangu.
 
si unajua mavyuo vya makanisa tunatoa kodi yetu Ule MOU. mkataba wa kinyonyaji uliofungwa na LOWASA.kwa hivyo usishangae ukaona st zinakuwa, waislam tunachangia kodi ktk hivyo vyuo vya kikiristo

kweli kabisa mkuu,maana hichi chuo chenu wanaokiua ni wakristo,nyinyi hamna matatizo kabisa,ni watu makini sana..yani bila wakristo miradi yenu kama Zahanati za Bakwata zingekuwa mbali sana.
 
Msimamo wangu utaupata baada ya mimi binfasi kuona hoja za pande zote mbili za shillingi. Usiwe na jazba.

Ingekuwa vyema mleta mada akaweka bandiko la ANNUR kwa hayo ayasemayo humu.
Unataka bandiko la Annur wakati kilasiku lazima upate copy yake hayo si yale magazeti yenu ya kwenye vijiwe vya kahawa!
 
duhu. Huoni kila kiongozi wa chadema anakesi mahakamani? Hio ni mwanzo tu

mandela alifungwa maisha kwa ajili ya ukombozi wa wanyonge sauz. so hata viongozi wetu wa cdm mkiwabambakizia makesi yenu inareflect ya mandela. at the end, we will be be winners. Allah yupo nasi.
 
sasa unakataa Kwamba tulivamia uganda kuondoa IDDI amini kwakuwa anajenga vyuo vya kiislam?

Huna akili, mpuuzi wewe, acha kutumika kama tp, kuna watanzania walikufa mtukula, wakristu na waislam kwa sababu ya idd amin,
Usipotoshe watu hapa, amin ndio alianza kuvamia na sio tanzania kumvamia eti kwa sbb alijenga vyuo vya kiislam, its a sick stupid analysis na huna huruma na familia za watanzania(wakristu na waislam) waliopoteza maisha kumtoa adui kwenye ardhi yao halali

unajishusha sana heshima, u sound immature in politics na unatumika kama pedi.., grow up, usipotoshe watu!
 
hakuna kitu kinaboa kama kuona watu humu jf wanapotosha mambo to serve their slave masters, mtu unakua huna tofauti na slave unatumika kumzalishia mali slave master...,

Purposley, mtu anapotosha umma wa jf kijinga jinga,, ni ushenzi!
 
Mimi nawashangaa hao vilaza wanaokimbilia kulaani watu hovyo hovyo.Mbona hawakuwasomea albadir wale wehu wanaojiita uamsho walivyochoma makanisa.By the way hata kama kauli ya huyu mama imewaudhi ila solution sio kukimbilia kulaani.
 
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini
wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa kauli ile?

gazeti lenyewe lina mtindio wa ubongo wewe msemaji itakuwaje? labda mmsome al badir awe anaokota makopo maeneo ya bunge.
 
hIZO NI LAANA AU UCHAWI? Kwa sababu kuna tabia imezuka ya mtu kumchawia mwenzake na kusema kalaaniwa
 
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini
wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa kauli ile?

Si misikitini tu atalaanika,

Bali hata makanisani na pia kwa wasio na dini pia tunamlaani. Kama kweli mungu huyu tunayemuabudu yupo basi atamuonyesha malipo yake kutaka kuleta ubabe hata katika uhai wa binadamu. Cheo alichonacho ni kwa ajili ya kuwatumikia wananchi na siyo kuwanyanyansa.

LABDA IWE MUNGU HAYUPO, BASI ABARIKIWE sana. LAKINI ENDAPO KWELI MUNGU YUPO BASI ...........

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
baadhi ya wabunge walipotoka nje hope aliumia kisaikolojia kwahiyo ahurumie tu.
 
Back
Top Bottom