Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

dua za waislam hufanya kazi miongoni mwao wenyewe na majini yako huwa hazimdhuru mtu asiyekuwa muislam!

yes!.......lkn kwa nini upoteze muda kumuombea dua mtu mwingine badala ya kufikiria kuboresha maisha yako na ya jamaa zako?...tunahitaji fikra mpya!
 
vipi laana ya kuchoma makanisa??...naona meli zinazama kila leo.

tUNAKUMBUKA mv Bukoba. nyerere alipolazimisha lazima Uganda iwe na Mfumo wa kikirsto baada ya Kuona tayari MBALE ISLAMIC university inakuwa kwa kasi
 
Nyie simnaanza kufuturu kesho?
Sasa mbona mnatoa laana baada ya kusamehe? Swawabu mtapata kweli?
 
Msimamo wangu utaupata baada ya mimi binfasi kuona hoja za pande zote mbili za shillingi. Usiwe na jazba.

Ingekuwa vyema mleta mada akaweka bandiko la ANNUR kwa hayo ayasemayo humu.

Ina maana huku ipata? Alisema waliokufa wapo MBALI KULEEE na sio hapa karibu kama chamwino au mjini hapa, Kama ingekuw ahapa karibu angehairisha bunge ila kw akuw ani mbali kuleee hakuna hoja.
 
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini
wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa kauli ile?

Kwani walikufa watu gani?
 
Mbona wanachagua watu wa kuwalaani!?

Kweli makinda alichenka....lkn sie aliesababisha meli izame....!

Waangalie laana isije kuwarudia wao wenyewe maana shetani wanaemwomba awadhuru watu huangalia kosa ni nani hasa kalitenda haangalii tu jina lamtu!!
 
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini
wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa kauli ile?

Ina maana uamsho umeshindwa kumsomea albadri huyu mama?
 
Na barabara ya kwenda nyumbani kwake hapa kijitonyama anawekewa rami, wakati barabara ya kuingia sokoni makumbusho ina mashimo kama sio Mahandaki.....kweli heri wanaodhulumiwa kwa ajili ya haki ..
 
tUNAKUMBUKA mv Bukoba. nyerere alipolazimisha lazima Uganda iwe na Mfumo wa kikirsto baada ya Kuona tayari MBALE ISLAMIC university inakuwa kwa kasi

mkumbuke na BENJAMIN WILLIAM alivyowazawadia chuo cha bure bure na mmeshindwa kukiendesha..
 
mkumbuke na BENJAMIN WILLIAM alivyowazawadia chuo cha bure bure na mmeshindwa kukiendesha..
si unajua mavyuo vya makanisa tunatoa kodi yetu Ule MOU. mkataba wa kinyonyaji uliofungwa na LOWASA.kwa hivyo usishangae ukaona st zinakuwa, waislam tunachangia kodi ktk hivyo vyuo vya kikiristo
 
Back
Top Bottom