Wa ndugu, hizi speed humps kutoka dar to arusha imekua kero. Imefikia hatua wananchi wameanza kujenga humps zao za udongo between wami and segera. Hamna hata sign ya kuzionyesha na pili ni kubwa kupita kiasi. Vyombo husika tuwe serious sasa hivi vitu vinaongeza ajali. Tanroad Tanga mmelala?