Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.

Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa

hotuba ilikuwa nzuri lakin tatizo alilokuwa nalo rais wetu na waliomuandalia hoto ni kutojali mda
 
makombora ambayo jk amerushiwa na chadema brigade humu jf leo hii ni ushahidi tosha kwamba jk hata hafanye jema lipi, kwa chadema wao jema hilo halina maana. I ushahidi tosha kwamba wanamchukia jk kwa sababu "siyo mwenzao" na wala si kwasababu ya utendaji wake kama rais. Yaliyosemwa na jk kama yangesemwa na kagame au mbowe au slaa, wangeyashangiria sana.

kazi ya mpinzani ni kukosoa na sio kusifia utendaji wa serikali kwani hilo ni jukumu la serikali ila hawa wajomba hata wakisikia jk anaumwa watakuja pondea.
 
Kiazi wewe, hamjui hata historia kazi kuleta utumbo wenu hapa JF. Unajuwa South Africa ilikuwa inaitwajwe kabla ya jina hili la sasa?
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.
 
Kikwete kinachomuharibia ni urafiki na watendaji wabovu siku hizi mheshimiwa amekomaa kwelikweli leo hii nimekumbuka na hotuba yake kwa bunge
 
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.

Historia inakusaidia kujua umetoka wapi na Uko wapi sasa na unakwenda wapi! Sasa Kama wewe unapingana na huu ukweli basi utakua unashida!

Hayo masayansi yenu yako na makanuni ambayo yote ni historia za watu walioanzisha!

Sasa Sijui unapinga nini na Kusema nini?
 
Kuna watu humu jf wanaboa kweli. Hivi walitegemea kama Rais atoe hotuba gani nzuri kama hii.Lazima aeleze umuhimu wa Tanzania na Nyerere kwa Taifa huru la watu weusi wa Afrika Kusini. Aaaah... Acheni kubeza eti speech ndefu, lazima tuioneshe dunia jinsi gani tulivyojitoa zaidi ya muhanga kwa weusi wenzetu. Bravo JK kwa kutuwakilisha vema sana.
 
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.

Hebu jitungie na wewe msiba wa kiongozi wako hapa Afrika ambaye historia na sehemu ya mafanikio ya ukombozi wa nchi yake imechangiwa na Tanzania. Acha hizo wewe.
 
kwa upande wangu, this was the best speech, I have heard from president JK, Thanks president, ilikuwa speech nzuri sana,

Bahati mbaya sikupata nafasi ya kumsikiliza, lakini Watangazaji wa TV iliyokuwa inaonyesha through live stream nimesikia wakiisifia hotuba ya JK.

Tiba
 
Hiyo historia inanisaidia nini? Sihitaji kujaza ubongo wangu kwa vitu nisivyoviapply maishani. Hiyo ya Madiba imekuja tu by the way na sikuhitaji hata kufahamu. Mimi mkuu nadeal facts zinazotokana na experiments and observations na zipo proven. Siyo mahistoria yenu ambayo ni just stories ambazo kila mtu ana uwezo wa kujitungia.
Bwana Rejao, inaonekana ama hujaenda shule kabisa au umesoma kidogo sana. Huwezi hata kidogo kubeza nafasi ya historia katika maisha ya mwanadamu. Historia inakupa dira ya kujua ulikotoka, ulipo na kukufanya ujijue kuwa basi kesho pia utakuwa wapi. Hata hizo unazoziita proven observation zako ni historia tu ambayo watu walishafanyia utafiti na hivo bado unakariri historia tu! Nakuomba sana usiingie kuchangia uzi kama hujui unachokisema!hili jukwaa ni jukwaa la watu wenye fikra pevu na siyo fikra mgando kama za kwako! Unaonekana unahitaji msaada wa kisaikolojia!!!! Uko down sana!!!!
 
kwa wabongo hakuna lolote wataishia kusifia tu then hamna hata kuwaambia jinsi gani umasikini wetu wa kipato na fikra waliusababisha

Hotuba Kama hizo hazihitaji kupigana vijembe. Hapo ni sehemu muhimu sana ya kuonyesha thinking and moving speech. Kwa aina ya watu wanaohudhulia hakuna anayehitaji kufundishwa historia.

Naomba sana tusipeleke uTZ wetu maana tabia aliyoonyesha Rais kwenye sherehe za Uhuru, ni mbovu kuliko. Badala ya kumkumbuka Mandela, ikawa kusikia uhusiano wa ANC na CCM. Hovyo kabisa! Msiba siyo sehemu ya kuwinda manufaa ya kisiasa na hasa huu ambao ni wa Dunia.
 
je matumizi ya with mama maria or accompanied by mama maria which is more polite or political correct?
 
Alikuwa anatoa historia badala ya kutoa Speech, halafu wajinga wengine wanasema ametoa speech nzuri, :smile-big:

Huyo ndio Mzee wa Misiba
JK amepewa heshima ya kuongea kwa sababu ndie raisi wa sasa wa tanzania. Tanzania imepewa heshima hiyo kutokana na yale iliyoyasimamia kwenye vita ya ukombozi barani africa. Hivyo JK angechemsha kama asingeongelea historia ya Mandela walipomuona wao ni "terorist" na role ya Nyerere na Tanzania kwa ujumla. Na haya aliyarudia KK. Kwa hili nampa 5 mheshimiwa raisi. Tukubaliane kutokukubaliana. Ameiwakilsha nchi vizuri.
 
kwa upande wangu, this was the best speech, I have heard from president JK, Thanks president, ilikuwa speech nzuri sana,

Yes! The best relative to what we are used to. Kama ni ugonjwa, Yaonekana anaconda. Lakini we subiri akirudi na kupewa nafasi nyingine. Yale Yale ya uwanja wa Taifa.

Hata hivyo, assessment ya waandishi wa vyomblo vingine vya habari, wametoa full marks kwa Bi Joyce Banda.
 
Back
Top Bottom