Special Thread: Thread zote za Rakims kwa wanaonifuatilia

Kila kitu na watu wake!! Hivi haya Mambo ukweli wake Ni upi...?
Mbona sioni shuhuda za hao wanaotoka nje ya mwili na hiyo miujiza myengine au kunani wahenga..?
 
Mimi Nikitaka wakati wowote kutoka nje ya Mwili wangu ninaweza kutoka na ninajijuwa kabisa kuwa hivi sasa nimetoka katika kiwiliwili changu ninapaa juu angani au kwenda sehemu yoyote ile ninayoitaka huku nimelala. wewe ukitaka jaribu kulala chalichali na mikono yako iwe umeikunjuwa na ujinyooshe mwili wako huku uso wako umeutazama mbinguni usitingishike wala kuogopa fanya hivyo ukiwa upo peke yako usiku wa kiza yaani kuanzia saa 8 usiku utaona yote katika kutoka mwili wako na kwenda unako taka.dalili ya kutoka mwili utakufa ganzi na usingizi mzito hapo ujijuwe sasa upo teyari kutoka na kwenda unako taka.
 
😎
 
Mkuu katika hiyo safari yako ya kwenda unapotaka hamna uwezekano wa kukutana na viumbe vingine kwenye ulimwengu wa kiroo vikakuletea shida..labda kukuzuru,kukutishia etc.
 
Back
Top Bottom