Jaribu ili uje utoe ushuhudaKila kitu na watu wake!! Hivi haya Mambo ukweli wake Ni upi...?
Mbona sioni shuhuda za hao wanaotoka nje ya mwili na hiyo miujiza myengine au kunani wahenga..?
Mimi Nikitaka wakati wowote kutoka nje ya Mwili wangu ninaweza kutoka na ninajijuwa kabisa kuwa hivi sasa nimetoka katika kiwiliwili changu ninapaa juu angani au kwenda sehemu yoyote ile ninayoitaka huku nimelala. wewe ukitaka jaribu kulala chalichali na mikono yako iwe umeikunjuwa na ujinyooshe mwili wako huku uso wako umeutazama mbinguni usitingishike wala kuogopa fanya hivyo ukiwa upo peke yako usiku wa kiza yaani kuanzia saa 8 usiku utaona yote katika kutoka mwili wako na kwenda unako taka.dalili ya kutoka mwili utakufa ganzi na usingizi mzito hapo ujijuwe sasa upo teyari kutoka na kwenda unako taka.Kila kitu na watu wake!! Hivi haya Mambo ukweli wake Ni upi...?
Mbona sioni shuhuda za hao wanaotoka nje ya mwili na hiyo miujiza myengine au kunani wahenga..?
😎Mimi Nikitaka wakati wowote kutoka nje ya Mwili wangu ninaweza kutoka na ninajijuwa kabisa kuwa hivi sasa nimetoka katika kiwiliwili changu ninapaa juu angani au kwenda sehemu yoyote ile ninayoitaka huku nimelala. wewe ukitaka jaribu kulala chalichali na mikono yako iwe umeikunjuwa na ujinyooshe mwili wako huku uso wako umeutazama mbinguni usitingishike wala kuogopa fanya hivyo ukiwa upo peke yako usiku wa kiza yaani kuanzia saa 8 usiku utaona yote katika kutoka mwili wako na kwenda unako taka.dalili ya kutoka mwili utakufa ganzi na usingizi mzito hapo ujijuwe sasa upo teyari kutoka na kwenda unako taka.
Zamani comment kama hizi JF ilikuwa inazitema. Sijajua kwa nini sikuhizi inaziruhusu.
Mimi Nikitaka wakati wowote kutoka nje ya Mwili wangu ninaweza kutoka na ninajijuwa kabisa kuwa hivi sasa nimetoka katika kiwiliwili changu ninapaa juu angani au kwenda sehemu yoyote ile ninayoitaka huku nimelala. wewe ukitaka jaribu kulala chalichali na mikono yako iwe umeikunjuwa na ujinyooshe mwili wako huku uso wako umeutazama mbinguni usitingishike wala kuogopa fanya hivyo ukiwa upo peke yako usiku wa kiza yaani kuanzia saa 8 usiku utaona yote katika kutoka mwili wako na kwenda unako taka.dalili ya kutoka mwili utakufa ganzi na usingizi mzito hapo ujijuwe sasa upo teyari kutoka na kwenda unako taka.
Kwa nini mkuunakumbuka nilikaribiaga izo states nikashidwaa kuvumilia
nilikuwa muoga sana nilikuwa najiskia hovyoo imagination nyingi ndoto nyingi nikaona labda nakuwa shetan lakin najarub kurud tena
Karibunilikuwa muoga sana nilikuwa najiskia hovyoo imagination nyingi ndoto nyingi nikaona labda nakuwa shetan lakin najarub kurud tena