Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 650
- 534
Siku chache baada ya kampeni za CCM kuzinduliwa,mgombea wa urais kupitia chama icho aliaidi kuwa katika kampen zake atatumia njia ya bara bara katika safari zake ili kujionea kwa ukarib shida zinazowakumba watanzania, ila cha ajab jana alipo kua mara alienda na ndege na ivyo kuvunja ahad yake ya kwanza ambapo haijapita hata mwezi tokea aihaid....hali hii inanipa mashska kama je ataweza kutekeleza ahaad nyingine lukuki anazoziaid majukwaani,,,