It costs nothing to give the number,v Sasa sijui unataka niende wapi kutaifuta hiyo , hii thread has 6 pages only nime angalia sijaona, knowledge is for sharing!Tushafanya marekebisho kwa post za mbele fuatilia uzi utaiona
It costs nothing to give the number,v Sasa sijui unataka niende wapi kutaifuta hiyo , hii thread has 6 pages only nime angalia sijaona, knowledge is for sharing!Tushafanya marekebisho kwa post za mbele fuatilia uzi utaiona
Hii hapaNo nyingine ya jamaa wa solar pump system incase ile ya kwanza haionekani kwa watsap +8618520370916
His name is Tony
Thanx a million timesHii hapa
Karibu tenaThanx a million times
Mkuu nikupe heshima kwa hili somo la umwagiliaji ulolianzisha naamini utatusaidia wengi tunaolima kwa mazoea.Nakumbuka kipindi nafanya research chuo nilihangaika sana... Japo kiukweli wengi bei zao si rafiki...kuna mdau kaweka namba za wachina hapa jukwaani, jaribu kiwacheki alafu na mimi ntakuchekia namba za mtu wa hapo dsm kama bado ntakua nazo maana ni mda kidogo umepita toka niwasiliane nae!!
Habari yako mkuu!? Shukrani kwa swali lako zuri mkuu! Nlikua hapo Tpc kiwandani na wao pia wana hiyo shida tena kubwa sana!!Mkuu nikupe heshima kwa hili somo la umwagiliaji ulolianzisha naamini utatusaidia wengi tunaolima kwa mazoea.
Ila nina jambo nataka unielimishe ukiwa kama mtaalam. Mie nina shamba maeneo uloyataja kule mawala TPC mkoani kilimanjaro na nimechimba kisima kinachotoa maji ya kutosha kwa umwagiliaji, tatizo linalotukabili wengi ni baadhi ya maeneo ardhi kuwa na magadi na maji ya kisima kuwa na chumvi chumvi na kusababisha mazao kudumaa.
Sasa mkuu swali linakuja ni namna gani naweza kupunguza magadi shambani au nipande aina gani ya mazao ambayo yataendana na eneo husika?
Nashukuru kwa majibu kiongozi, ni ukweli maji yana chumvichumvi kwa mbali, hii ndio kusema maji ndio yanasababisha udongo kuwa na magadi au? Naomba ufafanuzi zaidi mtaalam.Habari yako mkuu!? Shukrani kwa swali lako zuri mkuu! Nlikua hapo Tpc kiwandani na wao pia wana hiyo shida tena kubwa sana!!
Ki uhalisia moja kati ya sababu nyingi za chumvi chumvi ardhini ni maji!! Swali ni je, hayo maji hayana chumvi??? Kwasababu umesema ardhi ina chumvi solution zipo nyingi ila ya kwanza kabisa ni kupima chumvi kwenye maji na kama yakiwa na chumvi msije yatumia tena!!
Pili ni kupanda mazao ambayo yanastahimili ardhi yenye chumvi mfano mahindi japo nayo hayastahimili kwa kiwango kikubwa!!
Tatu punguza matumizi ya mbolea za kiwandani kwa kiwango kikubwa maana inaweza changia madhara zaidi.
Hiyo ni kwa kifupi mkuu...nadhani hii ntaizungumzia kwa undani zaidi wiki hii au ijayo mwanzoni!!!
NB: mazao ya mboga mboga hayataweza fanya vizuri kwenye ardhi kama hiyo unless hatua stahiki zichukuliwe kuondoa chumvi ardhini. Karibu
Nashukuru kwa majibu kiongozi, ni ukweli maji yana chumvichumvi kwa mbali, hii ndio kusema maji ndio yanasababisha udongo kuwa na magadi au? Naomba ufafanuzi zaidi mtaalam.
Na endapo nitaweza kuchimba kisima kirefu zaidi kuna uwezekano wa kupata maji yasiyo na chumvi? Sababu hiki kisima cha sasa vijana walichimba kwa zana za mkono.
Hii nimeependa sana nahitaji kufahamu jinsi ya kuitumia!!!Ni kweli kabisa mkuu!!! zipo pia hasara kama uongezwaji wa chumvi kwenye ardhi, hii nayo ni hatari zaidi, infact tutaiongelea kwa undani zaidi kadri muda utavyiruhu!!
Nakumbuka nikiwa mwaka wa nne chuoni mwalimu alituonyesha mfumo ambao walikua wana develop kwa ku modify drip systems zilizopo nadhani hawajamaliza, ila ukikamilika utakua nafuu sana hawa kwa watumiaji wa chini!!
Kuna njia pia ya umwagiliaji wa ndoo na madumu yaani yanankua yanatobolewa, hii njia ni mahususi kwa small scale farmers na sizani kama unaweza tumia kwa mashamba makubwa!
View attachment 425040
source: HOME
View attachment 425041
Kwa tunapoenda drip irrigation itakua ni ya mwimu sana hasa kwa changamoto za mvua na uongezekaji wa idadi ya watu duniani ambao unaenda sambamba na uhitaji mkubwa wa chakula ambacho kinapatikana kupitia kilimo!
Ni kweli kabisa mkuu mawakala wengi bei zao sio rafiki, lakini tujue hiyo ni initial cost ila ukisha install unaweza itumia muda mrefu tu!!
Mkuu unamaanisha drip irrigation system au local methods kama ndoo au chupa??Hii nimeependa sana nahitaji kufahamu jinsi ya kuitumia!!!
Wadau next topic inaweza kua moja kati ya hizi!!
1. Aina ya Vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji. Pia tutaangalia madhara yanayoweza tokea kama hutatumia maji kwa uangalifu
2. Elimu kuhusu pump na jinsi ya kuchagua pump kulingana na mahitaji
3. Jinsi ya kukadiria mahitaji ya drip pipes/ drip line unapotaka kununua
Hayo ni mawazo yangu, kama utakua na wazo usisite kuweka ili tulifanye kama mada! Karibuni
Mkuu kwema? Hivi drip pipes hazina msamaha wa kodi??Tatzo la watanzania tunaumizana sana...mtu anataka 1.8-2m kwa drip pipes za heka moja while for io hela ukiagiza kutoka china unapata pipes za heka 5....
+86 150 7569 8509 add hio no then anza kuchat na huyo dada watsap mpe requirements zako atakutengenezea design na kukuuzia drip pipes na kukutumia hadi tz unachotakiwa ni kulipia gharama za bandari,wakala na tra utoe mzigo wako...
+8675533556323 hii no ni kwa wale wanaohitaji solar water pump systems kwa wale ambao hawapo karibu na mito...with solar power pump system & drip irrigation u r one point close kua mkulima wa kisasa...Goodluck guys
Mkuu kuna kipindi nakumbuka bidhaa au tools za kilimo zilikua hazina kodi sasa sijui kama mpaka leo kodi imeondolewa au vipi!!Mkuu kwema? Hivi drip pipes hazina msamaha wa kodi??
Na mimi nakumbuka ilikua hivyo sasa jamaa kanishtua alivyosema unalipia kodi ndio maana nikamuuliza atupe jibu sababu anamefanya manunuzi muda si mrefu, ila sidhani kama wameweka kodi siku hizi maana tunanyonyana wenyewe sasa.Mkuu kuna kipindi nakumbuka bidhaa au tools za kilimo zilikua hazina kodi sasa sijui kama mpaka leo kodi imeondolewa au vipi!!