Special thanks for...

Erickb52, wiki moja yaani ndo kwanza penzi linaanza, hapa linakuwa moto moto.......hakuna kulala, kuongea usiku na mchana, lunch time naomba ukale, naomba nikuchagulie chakula cha jioni ya leo, nataka niwe wa mwisho kuongea nawe kabla hujalala, utapenda kuamka saa ngapi? naomba niwe wake-up call yako,............. linahitaji anivesari kweli?
Dah kwa tyle hiyo halistahili aisee labda Mwaka mmoja na nusu kama mimi na Amyner
 
Last edited by a moderator:
Thanks Ynnah due your carin!

Mkuu, wengine hatujui kiinglishi bana. Jibugi kinyerere nasi tuambuliemo.

Sasa hapa unamaanisha umeshapona nisimamishe sala au bado niendelee kukong'oli maombi mpaka mapepo yazimie?
 
Afadhali umemuambia. Jamani anaongeaga inglishi ya kidhungu hata mie natumia google translator ndo nimuelewe atii!
Mkuu, wengine hatujui kiinglishi bana. Jibugi kinyerere nasi tuambuliemo.

Sasa hapa unamaanisha umeshapona nisimamishe sala au bado niendelee kukong'oli maombi mpaka mapepo yazimie?
 
Back
Top Bottom