Special thanks for...

wala usipate shida, mimi sitakuja kwako, nakusaidia kukuondolea shida ya kunipunguza maana wengine hapa tukishaingia ndoani huwa hatutoki, na nakuhakikishia hutapata sababu ya kunipunguza, so ni bora nisiingie
Sasa hata ndoani hujaingia na unaleta jeuri shauri yako utaishia kuwa Senior Bachela au kama Erick Ford
 
Mi natatizwa na kilugha chenu cha kiingkishi. Ila nimeelewa kuwa mdau ni mgonjwa na namuombea apone mapema. Semeni AMINA......

Hommie Kaizer nakusalimu mazee.

Nisamehe niko machimbo huku Torabora. Vyuma chakavu si haba..

Kwaherini tena.
 
Last edited by a moderator:
Heheheee huyo aliniletea mapozi hajui mi sina muda wa kuzungushana nae mwaka mzima?
Niko najiandaa kwenda kwa Amyner kulea mtoto wetu hivi karibuni so achana na FP kachezea shilingi chooni

chezea kupenda wewe mwaka sio kitu.......sasa kama ulikuwa na Amyner kwa FP wataka nini au ndoa ya mitala naye kashtukia dili
 
Last edited by a moderator:
Mi natatizwa na kilugha chenu cha kiingkishi. Ila nimeelewa kuwa mdau ni mgonjwa na namuombea apone mapema. Semeni AMINA......

Hommie Kaizer nakusalimu mazee.

Nisamehe niko machimbo huku Torabora. Vyuma chakavu si haba..

Kwaherini tena.
Asprin nakusalimu kwa majina yote.......hivi huko mbege inapatika
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaka yangu Judgement hope unaendelea vema sana!
Nakuombea sana kwa Mungu akusaidie urejee katika hali ya kawaida mapema iwezekanavyo!
Get Well soon bro!

Narudia tena kumuomba mungu akuponye haraka ukalijenge taifa.japo hukuniona ila kwakua nilikua katikati ya kundikubwa lilinyoosha mikono kukuombea
 
Last edited by a moderator:
Asprin nakusalimu kwa majina yote.......hivi huko mbege inapatika

Nimerudi hapa kwa heshima yako Blaki Womani. Naamini walitambua hilo. Mie mzima na huku mbege ni za kumwagiana.

Nakupenda sana lakini naomba nikuage. Bado naokoteza vyuma chakavu. Hivi namba zangu ulipoteza nikudipu uzisevu au umeamua tu?

Salimia wote pande hiyo hasa Filipo na Arushaone ambao wananidai... Niko kimaombolezo zaidi
 
Last edited by a moderator:
Heeh! Mie hata n'jajua kama unagonjeka. What happened, mama kijasho kakusukuma? Manake mmepokezana kuumwa sana.
Poyeee, get well soon. Ntakuja kukudeku mwaya.
 
Nimerudi hapa kwa heshima yako Blaki Womani. Naamini walitambua hilo. Mie mzima na huku mbege ni za kumwagiana.

Nakupenda sana lakini naomba nikuage. Bado naokoteza vyuma chakavu. Hivi namba zangu ulipoteza nikudipu uzisevu au umeamua tu?

Salimia wote pande hiyo hasa Filipo na Arushaone ambao wananidai... Niko kimaombolezo zaidi

babu nimekudipu mara kibao wala hupigi kesho nakuwekea vocha.....asante babu lala salama......salam zimefika
 
Back
Top Bottom