Special thanks for...

Thanks Erickb52 kwa kuniita manake I was not aware of this! But, as far as mpendwa wetu anaendelea vizuri....that makes the good of it! Let my best wishes be with you mr Judgement, I see say a prayer for your quick recovery dear!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa Blaki Womani naomba nimwombe Mungi anisaidie kuzifikisha salamu zako kwa ukaribu maana nahisi kwangu ntazichelewesha sana!
Ila naamini hajambo popote aliko!
Halafu madame huyu binti FP ananisumbua sana sijui nimfanyaje hebu nisaidie

Heeeeeeeee!!!! Erickb52 ushaharibu manake Blaki Womani ni mamkwe atakuja kusanua noma kwa bintiye!
Ulinipa jukumu la kumsindikiza Kabakabana, nimemfikisha salama, uchochoro ulikuwa poa thanks god hakukuwa na polisi jamii
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mwenyezi Mungu ni mkubwa atakujalia afya njema na utarejea kama kawaida.. pole sana kaka tuko pamoja
 
Pole sana Judgement!

Bado tunakuombea upone kabisa ili uweze kuendelea na majukumu yako.
 
Last edited by a moderator:
Aidha sitochoka kurejesha shukrani zangu kwani kiivo ndivyo nilivyotritiwa wis mai parents
JIWE LINALOISHI
KIPIPI
ASPIRINI
BLAKI WOMANI
MAMNDENYI
KONNIE
MAREJESHO
SWEETLADY
Aidha na wale waliotangulia kunijua hali awali na nikawataja nanyi Mungu awabariki.
Kila lililo zito awaondolee.
 
uzuri mwenyewe najijua, TANMO akila kona there is no way ntahamia kwa Erickb52, nina uhakika nitakuwa better of nikiwa single
Hapo nilipobold umeongea vema FP naamini wanipenda sema ulishinikizwa tu kwenda kwa TANMO eti kwa kuwa alianza kushuza verse....come to me bby
 
Last edited by a moderator:
Aidha sitochoka kurejesha shukrani zangu kwani kiivo ndivyo nilivyotritiwa wis mai parents
JIWE LINALOISHI
KIPIPI
ASPIRINI
BLAKI WOMANI
MAMNDENYI
KONNIE
MAREJESHO
SWEETLADY
Aidha na wale waliotangulia kunijua hali awali na nikawataja nanyi Mungu awabariki.
Kila lililo zito awaondolee.
Akubariki na wewe pia .
 
Hivi FP hutaki kuwa na anivezali ya wiki moja ya penzi langu? Heheheheee sio ya miaka 13 tu lol
Erickb52, wiki moja yaani ndo kwanza penzi linaanza, hapa linakuwa moto moto.......hakuna kulala, kuongea usiku na mchana, lunch time naomba ukale, naomba nikuchagulie chakula cha jioni ya leo, nataka niwe wa mwisho kuongea nawe kabla hujalala, utapenda kuamka saa ngapi? naomba niwe wake-up call yako,............. linahitaji anivesari kweli?
 
Wifi hata hunikumbuki jamani?

Mzimz wewe?
 
Back
Top Bottom