Poa poa mkuu, DV series ni nyingi na sijajua unataka u replace kwa processor hipi?
Samahani mkuu sikuwepo online kwa siku kadhaa, nitakuchekia halafu nitakujulisha.
zinapatikana mkuu.. Nicheck kwa 0713218388hi, nina minilaptop ni asus eee pc 1001 nahisi harddrive yake imeharibika kwani huwezi kuistall op mpya na haiload program ie harddrive haizunguki ningetaka pia kuupgrade ram yake vipi hizo spares zinapatikana na kwa gharama gani?
Thanks!!