Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Sababu kuu ni moja tu, mfumo huu wa maisha ya sasa utakuwa umepinduliwa na kuwa replaced na mfumo mpya.

Mfumo huu mpya utajibu maswali yote ambayo dini kuu mbili zimeshindwa kuyajibu.

Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndio yatakayo fanya mfumo wa maisha ya sasa hivi upinduliwe na kuwa replaced na mfumo mpya.

NAMAANISHA NINI KUSEMA MFUMO WA MAISHA?

Ngoja nikupe mfano kidogo. Nakurudisha hadi kwenye bustani ya Edeni kabla Adam na Hawa hawajamuhasi Mungu.

Kwenye bustani ya Edeni, Adam.na Hawa waliishi chini ya mfumo maisha ambao ulikuwa tofauti na mfumo wa maisha ambao waliuishi mara baada ya kafukuzwa kutoka Eden. Mfumo ambao ndio tunauishi mpaka.leo.


Kwenye bustani ya Edeni hakikuwa na 👇

1. Kifo
2. Magonjwa.
3. Kula kwa jasho.

4. Kuzaa kwa uchungu.

5. Adam na Hawa wali exercise their full authority of each and everything that surrounded them.

5. Adam na Hawa walikuwa wanazungumza na Mungu physically. God the Almighty was physically visible from their point of observation.

6. Kifupi ilikuwa ni bata juu ya bata.

BAADA YA KUFUKUZWA EDEN:
ADAM na Hawa ,walianza kuishi maisha ambayo : 👇

1. Walijua kuna kifo.

2. Kulikuwa na kuugua

3. Kuzaa kwa uchungu.

4. Kula kwa jasho.

5. No more physical contact with God.

6. Their authority over other creatures was a little bit shaken.

Tafsiri rahisi ni kwamba baada ya Adam na Hawa kuasi la Mungu, mfumo wao maisha ulibadilishwa juu chini. Walianza kuishi chini ya mfumo mpya ambao ilibidi wa u adopt.

MIAKA ELFU SABA IJAYO.

Kwenye Biblia imeandikwa kwamba siku atakayo kuja Yesu atashusha mbingu mpya na nchi mpya. Kwa tafsiri yangu Mimi hizo mbingu mpya na nchi mpya ni mfumo mpya wa maisha na sheria mpya za maisha zitakazo endana na mfumo huo mpya.

MAMBO MAWILI YATAFANYIKA

1. viumbe kutoka sayari na universes zilizo endelea kiteknolojia watashusha teknolojia yao kwa watu wanao ishi katika sayari hii. Teknolojia hii itafanya mambo yafuatayo:

1. Kufanya watu watakao kuwa wanaishi kutokufa Milele. .

Hii itakuwa ni aina ya miti/mimea kutoka mfumo wa nyota uitwao Alpha Centauri.. Ina aminika kwamba katika mfumo wa Alpha Centauri ndiko vitu vyote vilivyopo katika sayari ya dunia viliumbwa/vilitengenezwa( wanyama akiwemo binadamu na mimea) Raw materials zilichukuliwa kutoka katika sayari ya dunia unapelekwa Alpha Centauri then viumbe wa duniani hapa wakawa created then wakaja kuwa planted back kwenye sayari hii ya dunia.. sasa inasemwa kwamba huko Alpha Centauri kuna species za mimea ambazo mwanadamu au kiumbe yoyote yule aki consume anaishi Milele. ( Refer Mwanzo 3:22 " Basi Mungu akasema, tazama mtu huyu amesha kuwa kama mmoja wetu kwa kujua mema na mabaya, sasa asije akanyoosha mkono wake akatwaa tunda la uzima akala akaishi milele"

Wana nzuoni wanao amini katika nadharia ya Alpha Centauri wanasema kwamba;
Hapa Mungu alikuwa anasema kwamba huyu mwanadamu tayari amesha jitambua, sasa asije akajiongeza kimaarifa akaweza. Kufika hadi Alpha Centauri akatwaa mti huo wa uzima na hatimaye kuishi milele. ( kwa teknolojia iliyopo umbali kutoka Duniani hadi Alpha Centauri kwa spidi ya Msanga ni miaka 4367 light years . Jambo ambalo ni timu kwa wanadamu wa sasa kwenda Alpha Centauri na kurudi duniani wakiwa hai lakini miaka inayo kuja wanawadamu wata gungua/ wata pata access ya teknolojia ambayo itawawezesha kwenda Alpha Centauri ndani ya muda mfupi probably hours or days or weeks or few months or few years like2 or 3 jambo linalo maanisha kwamba wanadamu wataweza kuishi Milele kwa sababu wataweza kuchukua hiyo mimea na kuileta duniani )


2. Kufanya watu walio zikwa makaburini wafufuke bila kujali wamezikwa kwa miaka mingapi.

Hii itakuwa ni aina ya mawe stones au madini ambayo yatashushwa duniani kutoka anga za mbali. Mawe haya yatakuwa na nguvu ya kufufua vitu vilivyo kufa na kuvirejesha kwenye uhai. Uwepo wa mawe haya juu ya uso wa dunia utafanya watu wote walio kufa wafufuke na kurudi katika miili yao..

3. Kufanya watu wasio na magonjwa wasiumwe kabisa na wenye magonjwa wapone magonjwa yao yote.

Itakuwa wadudu mfano wa nyuki hawa wadudu wata elekezwa kunyonya utomvu wa miti eidha kutoka Alpha Centauri au hapa hapa duniani na kisha kuwadunga watu wote wanao ishi katika dunia hii wao pamoja na mifugo. Hiyo itakuwa ni chanjo ambayo itafanya watu ambao hawana magonjwa wasiumwe tena na wale wenye magonjwa wapone magonjwa yao yote au hitilafu zao zote zikae sawa.

2. WANADAMU WATAGUNDUA TEKNOLOJIA HII KUPITIA MIMEA NA MADINI YALIYOPO HAPA HAPA KWENYW SAYARI YA DUNIA...

Yatavumbuliwa madini na mime.ambavyo vitakuwa na immortal powers plus powers to resurrect the dead. Mshana Jr anajua porini kuna mti unaitwa Mcomoro, mzizi wa huu mti huwa unatumiwa na waganga na wachafu kufufua watu makaburini usiku. Mganga huenda kaburini saa tisa na dakika arobaini usiku hufanya kafara lake juu ya kaburi hilo na kuchoma madawa ya kichawi sambamba na kutamka maneno ya kichawi kisha atapiga hiyo fimbo ya Mcomoro kwenye sehemu ya moyo wa kaburi na kumuamuru Marehemu afufuke. Kaburi litapasuka Marehemu atafufuka kisha mganga/mchawi atamtuma huyo Marehemu afanye kazi aliyo muitia.. Ndio maana mnaambiwa muwe mnazindika makaburini yenu. Pia porini kuna mmea, huu mmea waganga wanautumia kufufua nyota za watu zilizo kufa ambazo zimezikwa kichawi na wachawi pia wanatumia kwenye mambo yao .

Nyoka wakiwa wanapigana halafu mmoja akafa basi nyoka alie hai atakwenda kuchuma majani ya mti huu na kumlisha mwenzake alie kufa ambapo mara baada ya kulishwa Marehemu nyoka atafufuka papo hapo. Huu not waganga huwa wanaenda kuuchuma wakiwa wanatambaa kama nyoka na huuchuma kwa mdomo. Nyoka akigundua ulimuona wakati anachuma mti huu basi atakugonga na utakufa hapo hapo unless otherwise uwe na kinga nyoka. Porini pia kuna mti mmoja maarufu sana miongoni mwa waganga na wachawi, unajulikana kwq majina mengi lakini ni maarufu kwa jina la wasukuma. Wasukuma wanauita " Lufakale" . Huu mti huwa wanauchanjia waganga wazito n na wachawi. Ukikosea masharti kidogo tu wakati wa kuchuma mti huu unakwenda na maji. Ukichanjiwa mti huu hufi mpaka waondoe paa la nyumba uliyo lala upigwe na jua ndio unakufa. Utaoza utakufa lakini hutokuga( miti hii linamaanisha kumbe hata hapa hapa duniani zipo malighafi zinazo weza kutumika.katika kufufua watu walio kufa, waliozikwa kufanya wafu wasife n.k)

MFUMO MPYA UTASIMIKWAJE?

Litakuwa ni suala la kidunia kama vile ilivyo kuwa Corona.

Wakati huo dunia itakuwa imeunganishwa kwa internet na kimiundo mbinu kama kijiji.

Mataifa yenye nguvu yatapitisha decree ya ku introduce him teknolojia kwa watu katika nchi zote duniani.

Kusimikwa kwa teknolojia hii duniani automatically kutafanya dini zote zife kifo cha asili.

Dini kubwa 2 as sayari ya dunia zimejengwa katika msingi wa hofu. Hofu haitokuwepo tena miongoni mwa watu.

Itazaliwa dini mpya. Nayo itakuwa ni upendo. Watu wataishi kwa upendo na furaha. Hakutakuwa tena na kubaguana kwa misingi ya dini kabila rangi etc.
 
Miaka 100 tu, dunia nzima inapitia secularization, watu wanaacha dini kwa maamuzi yao binafsi bila kulazimishwa.

Halafu atheism sio dini, ni mtindo wa maisha.
Miaka 7 tu iliyopita nilikuwa nikipata tu hata wazo la ku question dini, naona kama nishatupwa jehanamu ila leo hii naweza kumchana mtu live mbele ya macho yake ni jinsi gani dini zimetupumbaza afu ndo kwanza najiona kuwa jinsi nlivyo choosen.

Mi naona ni swala la kujitambua tu hata miaka mia mingi, kwa sababu kuna mambo yatajiri hapa duniani na watu watakuwa na question mark isiyo na majibu na hapo ndo itakuwa mwanzo wao wakujitambua
Can you imagine kuna watu wanaoamini usipokuwa mfuasi wa dini yoyote wanapigia mstari kuwa we ni wa shetan halafu at the sametime wao ni wafuasi wa imani zinazoongoza kwa machafuko kupambania ufalme na umalkia wa dunia hii, I ve been there.
 
Miaka 7 tu iliyopita nilikuwa nikipata tu hata wazo la ku question dini, naona kama nishatupwa jehanamu ila leo hii naweza kumchana mtu live mbele ya macho yake ni jinsi gani dini zimetupumbaza afu ndo kwanza najiona kuwa jinsi nlivyo choosen.
Mi naona ni swala la kujitambua tu hata miaka mia mingi, kwa sababu kuna mambo yatajiri hapa duniani na watu watakuwa na question mark isiyo na majibu na hapo ndo itakuwa mwanzo wao wakujitambua
Can you imagine kuna watu wanaoamini usipokuwa mfuasi wa dini yoyote wanapigia mstari kuwa we ni wa shetan halafu at the sametime wao ni wafuasi wa imani zinazoongoza kwa machafuko kupambania ufalme na umalkia wa dunia hii, I ve been there.
ngoja tuone
 
Miaka 7 tu iliyopita nilikuwa nikipata tu hata wazo la ku question dini, naona kama nishatupwa jehanamu ila leo hii naweza kumchana mtu live mbele ya macho yake ni jinsi gani dini zimetupumbaza afu ndo kwanza najiona kuwa jinsi nlivyo choosen.
Mi naona ni swala la kujitambua tu hata miaka mia mingi, kwa sababu kuna mambo yatajiri hapa duniani na watu watakuwa na question mark isiyo na majibu na hapo ndo itakuwa mwanzo wao wakujitambua
Can you imagine kuna watu wanaoamini usipokuwa mfuasi wa dini yoyote wanapigia mstari kuwa we ni wa shetan halafu at the sametime wao ni wafuasi wa imani zinazoongoza kwa machafuko kupambania ufalme na umalkia wa dunia hii, I ve been there.
Nakupongeza mkuu Kwa kujitambua, ukweli unakuwa kuwa huru
 
Back
Top Bottom