South korea wamfukuza kazi waziri wa ulinzi

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Sijui Tanzania tutafika lini hatua ya uwajibikaji kama hii,Rais wa korea ya kusini amemfukuza kazi waziri wake wa mambo ya ulinzi Kim Kwan Jim na mkurugenzi wa shirika la upelezi Won Sei Hoon kwa kushiwa kutambua kifo cha Rais wa korea ya kaskazini kim jong mapema mpaka walipopata taarifa hiyo kupitia Television jumatatu siku mbili baadaya kufa kwa rais wa korea ya kaskazini.

Pia Rais huyo amewawajibisha watendaji wengine wa shirika la upelelezi wa korea ya kusini kwa uzembe huo.

source:MBC-SOUTH KOREA
 
This is so unfair, I mean North Korea is not a country, it's a black hole. Hat CIA wenye mijeshi kwenye DMZ hawakujua.

Lakini inaonyesha standards za wenzetu zilivyo juu. Brazil huko Miezi 6, mawaziri waliojiuzulu 6, watu wanaulizana "Mwezi huu zamu ya nani"

Bongo tambarare, mibomu, ajali, Albino wanauawa, mibomu tena, mafuriko etc hamna hata anayejiuzulu kwa kuona aibu kama Ally Hassan Mwinyi.

Mpaka Amani Karume kasema wazi "Nchi yetu hatuna utamaduni wa kuwajibishana, siwezi kumuomba waziri wangu ajiuzulu"
 
Hiyo ya kutojua kifo cha Lil Kim kwa siku mbili tokea afariki ni bonge moja la intelligence failure and I had a feeling some heads were going to roll.
 
Korea ya kusini inatumia Technology ya juu sana kujua kila kitu kinachoendela korea ya kaskazini lakini juu ya hilo imekula kwao..
 
South Korea wanatumia pesa na resouces nyengine nyingi sana kuipeleleza Korea Kaskazini, ikiwa ni pamoja na kulilipa jeshi la Marekani kuipatia taarifa na ulinzi dhidi ya Korea Kaskazini

Hii ya kutojua mpaka wanaambiwa kupitia TV, lazima wawajiuzulu.

Pesa ya mwananchi haipotei bure
 
Hiyo ya kutojua kifo cha Lil Kim kwa siku mbili tokea afariki ni bonge moja la intelligence failure and I had a feeling some heads were going to roll.

I take it as a positive of North Korea intelligence! Yaani wajanja wote walishindwa kuistukia kifo ya Kim kwa siku mbili! Kama ni kukalia siri wako fit!
 
I take it as a positive of North Korea intelligence! Yaani wajanja wote walishindwa kuistukia kifo ya Kim kwa siku mbili! Kama ni kukalia siri wako fit!

Oh yeah, most definitely. That's an intel success on their part.
 
Back
Top Bottom