Mbayuwayu2008
Member
- Apr 10, 2011
- 5
- 0
Naomba mnisaidie wanaJF kuweza kuandaa hii soln ya (1) 3M NaOH in 500ml, (2) 0.5% Tween-20 from 1%Tween-20
Thanx
Thanx
Tumia njia ifuatayo, utafanikiwa kupata unachokitahitaji:
(1) 3M NaOH
Molarity of NaOH in (M) or (Mol/L) X Molar mass of NaOH (g/mol)= Conc. of NaOH in g/L
3Mol/L X 40g/mol= xg/0.5L
x= (120X0.5)g
= 60g
Kwa hiyo ni kusema pima gramu 60 za NaOH na uzichanganye na nusu lita ya maji (distilled water); utakuwa umepata 3M NaOH
(2) C1V1=C2V2
1% X V1= (0.5%) X kiasi cha ujazo unaohitajika kuandaa (V2)
V1= 0.5% X V2/1% e.g V2= 500ml
= 0.5% X 500ml/1%
= 250ml
Kwa hiyo pima 250ml ya 1% Tween-20 na uongeze ujazo hadi kufikia 500ml kwa kutumia maji (distilled water) i.e 250ml 1% Tween 20 + 250ml za maji.
Kila la kheri

Kuna jukwa la Tech,gadges &Science,next time nenda huko sisi hapa tuna deal na siasa tu...! Yaani unategemea aliyesoma HKL achangie nini sasa hapa?Naomba mnisaidie wanaJF kuweza kuandaa hii soln ya (1) 3M NaOH in 500ml, (2) 0.5% Tween-20 from 1%Tween-20Thanx