Sophia Simba ni Waziri Bogus

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Nathubutu kusema hivi.

Ati anasema "mtoto wa kike akimaliza darasa la 12 japo hatofaulu kupata nafasi ya kwenda kidato cha 5 angalau atakuwa amepata uwezo wa kuchagua mwanamume".

hii ni akili kweli? waziri anazungumza pumba kama hizi kwenye chombo cha habari kikubwa kama BBC mbele ya masikio ya watanzania wote (bbc inasikika hata vijijini)?

kumbe serikali yake inafundisha watoto wetu kuchagua wanaume? yaani serikali ya JK inafundisha Kicheni Pati?

mnisamehe wanajamvi.labda nimemuelewa vibaya huyu mama.

kwa mtizamo wangu huyu mama ni bogus na hapaswi kupewa nafasi ya kuwa waziri.
 
Ebwana nakuunga mkono kwa ulichosema.
Yaani huwezi amini ni waziri naamini ni msomi anaongea kama (samahani)mwanamama wa uswazi ambaye hana elimu zaidi ya std 7 ya bongo.
Nimemsikiliza nikawa naona aibu mimi. Wa rwanda ameongea vizuri tena kiswahili kilichonyooka, mama Nkya nae ameongea freah lakini huyu 'so called' waziri anatuaibisha.
 
She has proved that since longtime ago!Whenever she speaks she must IRRITATE!Ni bogus haswa mkuu!Hivi ana elimu gani huyu mama?
 
Ebwana nakuunga mkono kwa ulichosema.
Yaani huwezi amini ni waziri naamini ni msomi anaongea kama (samahani)mwanamama wa uswazi ambaye hana elimu zaidi ya std 7 ya bongo.
Nimemsikiliza nikawa naona aibu mimi. Wa rwanda ameongea vizuri tena kiswahili kilichonyooka, mama Nkya nae ameongea freah lakini huyu 'so called' waziri anatuaibisha.
Naona yuko kama Makamba vile! Aah, kumbe alitumia elimu yake kum-scout KK
 
Yaani ukianza kumsikiliza inabidi ukae wima maana ukisikia lolote lenye 'status' ya pumba inakubidi ufumbe macho na masikio haraka kweli! Kaaaazi kweli kweli!!
 
Huyo mama nilimpa sifuri katika uongozi/utawala siku nyingi,anafaa kwenye anga za mipasho na rusha roho
 
Si ndiye huyu aliyewahamasisha wanawake wagome eti kutoa unyumba ikiwa ni ishara ya .................. Hovyo kabisa jimama hili, na jk humuelezi kitu kwa limama hili
 
Wakubwa huyu maza kiukweli hana mbele wala nyuma!!! Mimi nilimuona TBC nikapigwa na bumbuwazi!!! Anadai kwa kusoma hadi darasa la 12 wasichana wanaepuka kuolewa mapema!!!! Wakati mimi nafahamu tatizo la mimba katika hizohizo shule anazozipigia debe ndo kubwa zaidi!!! Haswa huko kusini!!! Yeye hilo halioni??? Yaani huyu maza kichefuchefu zaidi ya mno!!!!!
 
kumbe ndo huyu kahaaaba kiongozi hebu niwahi majukwaaa mengine nisije nikapitwa na uhondo bure................
 
Jamani huyu mama ni kawaida yake...................Kumbekenu ile kauli yake kuwa wanawake wawanyime unyumba waume wao.....
 
nadhani nafasi inayomfaa ni kule CONTINENTAL KANGA MOKO KANGA MBENDEMBENDE KANGA INAVYOVALIWAAA, LAKIS PESA!!!! ile sasa ndo fani yake halisi huku kwenye siasa kapewa km kimada halafu anatuletea ujeuri
 
Nathubutu kusema hivi.

Ati anasema "mtoto wa kike akimaliza darasa la 12 japo hatofaulu kupata nafasi ya kwenda kidato cha 5 angalau atakuwa amepata uwezo wa kuchagua mwanamume".

hii ni akili kweli? waziri anazungumza pumba kama hizi kwenye chombo cha habari kikubwa kama BBC mbele ya masikio ya watanzania wote (bbc inasikika hata vijijini)?

kumbe serikali yake inafundisha watoto wetu kuchagua wanaume? yaani serikali ya JK inafundisha Kicheni Pati?

mnisamehe wanajamvi.labda nimemuelewa vibaya huyu mama.

kwa mtizamo wangu huyu mama ni bogus na hapaswi kupewa nafasi ya kuwa waziri.
Jamani hivi Rais wetu anatumia vigezo gani kuchagua watendaji wake hasa ukizingatia Mama huyu ni WAZIRI kwakweli hafai kuwa hata diwani.Nimesikiliza mjadala huo mwanzo hadi mwisho bahati mbaya nimeshindwa kurekodi.Kwakweli huyu mama amezungumza pumba inatia aibu.Anaulizwa kuhusu mipango,mikakati na mafanikio yeye anazungumzia sherehe na kwamba sherehe ni vigumu kufanyika kila kijiji.Ukimsikiliza mshiri kutoka Rwanda moja kwa moja utaelewa kwanini wanafanikiwa,mtu maki anaelewa anachokizungumza kwake ni rahisi kuelezea mikakati,mipango na mafanikio.Kwani kwao mipango ipo,mikakati ipo,watendaji makini wapo na hatima yake mafanikio ndio maana katika kipindi kifupi baada ya kutoka katika vita wamepiga hatua kubwa katika sekta zote.Katika nchi yetu ambayo pamoja na amani na utulivu kwa watendaji kama hawa wakina Sophia Simba cha kusikitisha asilimia 99 pamoja na Rais mwenyewe JK uwezo wao wa kuoongoza ni dhaifu nchi yetu inapiga hatua kurudi nyuma.Inasikitisha MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mkumbe kiongozi wa nchni akiumwa na nchni pia inaumwa!! hatari sana viongozi wa Tanzania
 
Inabidi tuwaombe wahusika, kama watataka kumuhoji (Radioni/TV) watoe angalizo la Parental Guide/age restriction (18). Maana kila akiongea maranyingi anakimbilia kwenye matendo/mambo ya ndoa.
 
mimi wala sishangai na siwezi kumlaumu huyo lisophia ila namlaumu aliyempa hiyo cheo, mama huyo kwanza hajui analofanya tangia awe waziri sijawahi kumsikia hata mtu moja anayemsifia, kuanzia utendaji wake hadi hotuba yake ni pumba tu, ingekuwa china huyo mama kashalimwa shaba ya kichwa, na watu wangeshakula mpunga na kumsahau, hii nchi inatakiwa itawaliwe na dictator, kiongozi akifanya ujinga tu ni shaba, no question,Biashara ya kujichekeshachekesha imeshapitwa na wakati, kinachotakiwa ni kazi tu na wala si uwizi kama wanavyofanya.
 
Nathubutu kusema hivi.

Ati anasema "mtoto wa kike akimaliza darasa la 12 japo hatofaulu kupata nafasi ya kwenda kidato cha 5 angalau atakuwa amepata uwezo wa kuchagua mwanamume".

hii ni akili kweli? waziri anazungumza pumba kama hizi kwenye chombo cha habari kikubwa kama BBC mbele ya masikio ya watanzania wote (bbc inasikika hata vijijini)?

kumbe serikali yake inafundisha watoto wetu kuchagua wanaume? yaani serikali ya JK inafundisha Kicheni Pati?

mnisamehe wanajamvi.labda nimemuelewa vibaya huyu mama.

kwa mtizamo wangu huyu mama ni bogus na hapaswi kupewa nafasi ya kuwa waziri.
Huyu mama kipaumbele chake ni wanaume tu na si vingine. Hata nafasi ya uwaziri ameipata siyo eti ana uwezo wa kuongoza bali ni kwa ushikaji mzuri alionao na wakubwa wa Chama.
 
Jamani huyo mama anajua mambo ya ngono tu ndio maana muda wote anafikiria wanaume na kwa vile mkwere ndio mambo yake na amenogeshwa na hilo limama basi haambiliki kabisa! Nadhani hata alipokuwa secretary alikuwa anagawa ngono tu!! Kikwete ondoa watu kama hawa licha ya kututia aibu ni mzigo tu kwa taifa hata kama unalipa fadhira kuna namna nyingine sio kwenye nafasi hizi nyeti! Upuuzi wa Sophia Simba ndio upuuzi wako!!
 
tunachofahamu wengi toka siku nyingi baba wa kaya anapumzika hapo na amemsika kweli kweli,ndio maaana mama hakosi uongozi akinyima wa kuchaguliwa na wanainchi walioandaliwa yaani walionunuliwa,basi atateuliwa na baba wa kaya .Fuatilia namna anavyopata uongozi wake ni kwamba baba ndo anaye mbeba.HONGERA NCHI YETU HONGERA VIONGOZI WETU
 
Back
Top Bottom