kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,590
- 183
hivi kumbe ni msomi naye huyu. Aliuzwa SADC kirefu chake nini akajibu aahm... sijui, watu wengi hawajuiEbwana nakuunga mkono kwa ulichosema.
Yaani huwezi amini ni waziri naamini ni msomi anaongea kama (samahani)mwanamama wa uswazi ambaye hana elimu zaidi ya std 7 ya bongo.
Nimemsikiliza nikawa naona aibu mimi. Wa rwanda ameongea vizuri tena kiswahili kilichonyooka, mama Nkya nae ameongea freah lakini huyu 'so called' waziri anatuaibisha.