Sophia Simba na wanawake "wavaa vimini"

Jerusalem,



  1. Baba yangu mwanzoni alikuwa Mwislamu.
  2. Aliamua kubadilisha dini.
  3. Mpaka leo mimi ni Mroman Catholic ingawaje kila mtu ananipa dini ambayo anaitaka.
  4. Dar es Salaam tuliishi Bungoni, Ilala.
  5. Alifanikiwa sana kwa shughuli za baa.
  6. Mimi ni mtoto ambaye nimesomeshwa kwa pesa za pombe.
  7. Baba yangu alikuwa na baa inayoitwa Uzaramo Bar
  8. Kwa hiyo, mimi kufungua vizibo vya bia najua.''

1 & 2: siamini watu wanaobadilibadili dini.

3: SS atakuwa haendi church. wakatoiiliki hawafundoishwagi uropokaji

4: ukiishi buguruni, ilala, kariakoo, lazima ama uwe mtu wa taarabu,mswahilina, mtu wa mipasho, mropokaji au vyote pamoja.

5 & 6: no comment (i smell uropokaji pia)

7: uropokaji mwingine. you cant think before you give comments.


natangaza sitaleta thered ingine kuusu uyu Bi Sophi
 
hata kama hakuwa na maana ya mtoa mada lakini sitegemei Mama mtu mzima awaite mabinti wavaa vimini!yeye kama Mama na kiongozi achague maneno ya kuzungumza hasiwe anaropoka kama mnywa mataputapu

waimba tatarabu huwa huwa awapanfdi stejini bila kushtua. hata uwt ni ivoivo.alikuwa anahutumia wamama wa uwt
 
katika nukuu yako sijaona sehemu huyo SS alipoongelea wakristo, dah we utakua mzito sana kuelewa
 
SS ni Mkristo, Mkatoliki. Ni mropokaji lkn this time hakuna alipoingiza udini. Tuwe waangalifu na watu wa naopenda kila kitu kuhusisha dini katika kila jambo ni utaahira. Kuna watu wanaendekeza dini utadhani walisha ongea na Mungu. Wanafiki wakubwa.
 
Mbona SS hakutaja dini jamani, haf wanaovaa vimini mie navojua ni watu wote tu, hilo halina dini. Kuna umri tu mtu anajisikia kuvivaa.
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.



mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011

Lakini TZ si kule TALIBAN kwenye mabaibui na hijabu tu ambako kuvaa vimini ni dharau kubwa. SS ni mropokaji tu kwani kiongozi anakosa heshima anapowaita watu kwa mavazi yao - hata angesema wavaa suti bado haifai.

Pia ni mila ya CCM kutoheshimu watu kwa kua wanajua class yao ipo juu.
 
Mme m miss SS siku nyingi ehhh?
wapi kasema wanawake wa kikristo? Kwani hakuna Waislam wavaa vimini?..

Mleta thread anataka kuwagombanisha wakristo na sophia simba ukiangalia hata nukuu huyu mama hajataja neno wakristo!

Kwanini tuchochee mifarakano kwenye jamii yetu! Chuki za mtu binafsi na sophia simba zisiletwe humu kwenye JF
 
Jaribu siku moja kuwauliza majina wahudumu wetu wa Bar kama 3 hivi tofauti na wale wa Guest houses, > 80% majina yao yatakuwa ya mlengo wa akina ni Khadija.

Kwa hiyo SS hangemaanisha wavaa vimin ni wakristo kwan nae alishauza sana bar hivyo analifahamu sana hilo.
 
Mi naona wewe uko wrong kabisa!

Aliposema hivyo alimaanisha ..WASICHANA WA UMRI WAKATI..whether Wakristo or Waislamu, maana wote huvaa vimino!
Ni kitu gani kilichokufanya uone kama vile kawasema wakristo?
Ndiyo maana mwishoni mwa nukuu yako anasema kabisa kuwa .."tuwashirikishe watoto wetu"...

This is too much speculation broda, AND SOMETIMES IT CAN LEAD to bad outcomes.

Halaumiki mwenywe kuleta mada kwani Kiswahili si kwakila aliyezaliwa au kuishi katika United Republic of Tanzania
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.



mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011

kwani tatizo liko wapi jamani? vimini si ni vazi kama mavazi mengine tu,kwanza na hili joto la bongo hapa ukivaa kanzu si utaungua? mimi mke wangu lazima apige kimini au vazi analotaka coz sioni shida yoyote hapa na vimini uvaa sio dhambi na wala hajadharau mtu ebo!!!!!!!!!!!:rain:
 
hapo ulipoandika kwenye red. ishia ahapohapo, wana jf wananifitinisha na mods tu laikini hakuna wadasda wa kislam wanavaa mini. context ya theread yangu siyo udini. it is about uyanyasaji wa kijinsia anaoendlekeaza huyu mama simba dhidi ya wadada wetu. ila kwa sababu watanznaia mmezoea kila mtu akisema ukristo au uislam basi ni udini basi tuendelee kufuniaka kombe.

mie unanikera sana kutwa kuchonganisha mambo ya dini,mara ulete threads za kuuponda uislamu,yaani mie nikisoma threads zako huwa damu inanichemka sana na macho yananivimba kwa hasira..........daaaaaaaaah huwa natetemeka kwa hasira daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Huyu labda anaota - wapi wametajwa wakiristo ? Nimejaribu kuangalia maandishi alioyaweka ikiwa nitaona hata lepe kuwa wakiristo waliazimiwa lakini sikuona. Uongo na fitina ni adua wa taifa.
 
Back
Top Bottom