Sophia Simba na wanawake "wavaa vimini"

huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.

mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011

Acha kutia maneno midomo mwa watu.
 
MTOA MADA TUMSHUKURU.....japo kataja sophia simba ili kuamsha hasira dhidi ya SOPHIA,CCM,UISLAMU lakini ukweli unabaki palepale....sisi watu tuingiao makanisani(sijasema wakristo) na wenye majina ya kikristo.....HUWA HATUNA HESHIMA YA MAVAZI KATIKA NYUMBA ZA IBADA NA HATA MAJUMBANI NA VIONGOZI WA MAKANISA HUSHINDWA KUKEMEA BALI KUSIFIA UUMBAJI WA MUNGU
NAMPONGEZA ASKOFU KAKOBE KWA KUSISITIZA SOMO LA MAVAZI
 
Pamoja na mapungufu yake mengi hilo naona umemtafsiri vibaya!! Wanao vaa vimini wengi ni akina dada vijana wa umri wa Halima mdee na wako likely kumuunga mkono kuliko CCM
 
Sijaona mantiki ya Ukristo na kimini hapo.

Pamoja na mambo mengi Sofia ni mwanamama ambaye km walivyo wengine asingeweza kumaanisha unachojaribu kutuaminisha! Elewa maana kwanza...
 
katumia lugha chafu siwezi sema kwa wakristo au waislamu hata kama mtu anavaa kimini huwezi kujumuisha kwa kutumia maneno kama hayo!pia wewe uliyeleta hii thread una ushabiki wa kidini sababu hata hapo ulipoandika na kumnukuu sijaona neno wakristo jaribu kujiepusha na tabia ya kuchonganisha watu na tabia ya kuingiza udini pia!

so wewe na sophia simba naona kama akili zenu ni moja tu!jaribuni kutumia busara na sio kugombanisha watu!kha jamani busara na utu havinunuliwi huwezi kuwaita wapiga kura wako kwamba ni wavaa vimini na bado ukawainamie wakupigie kura
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.

mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011

usije kuwa umetafsiri vibaya bosi. sidhani kama alikuwa na maana hiyo ya kwako. mi nimetafsiri tofauti pia.
 
Sofia Simba ni mwanamkeasiye na busara hata chembe ni mropokaji wa kiwango cha juu kuliko huyo Makamba na Tambwe, ilifika mahali ikasemwa hana analofikiri zaidi ya ngono.

Ila nkwa hili alimaanisha vijana wa kike, maana UWCCM imejaa ma ajuza tu kwa nsababu yeye kaigeuza uwanja wa mipasho.

Tafadhali tusiligeuze jamvi letu hili kuupgrade udini mwacheni mkwere aendeleze ngoma yake ya udini isiyo na wachezaji, hapa tujenge hoja tu
 
hata kama hakuwa na maana ya mtoa mada lakini sitegemei Mama mtu mzima awaite mabinti wavaa vimini!yeye kama Mama na kiongozi achague maneno ya kuzungumza hasiwe anaropoka kama mnywa mataputapu
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.

mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011
Ama utakuwa umemwelewa vibaya au kwa makusudi ulitaka tu kuweka post ya kidini hapa.

Nilitaka kushangaa siku imepita bila ya kuona uchochezi wa dini, bahati mbaya wachangiaji wamekushtukia. Zipo mada nyingi tu za kidini, jaribu nyengine.
 
Hivi kwani huyu JERUSALEM hamumfahamu? Msipoteze muda kumchambua upupu wake. S/He always likes to provoke
 
Kwanza tujiulize kama tabia hii kwa wingi wao hawana? Ndipo tuanzie hapo kuujadili huu ukichaa wa SS.
.

Waislamu wana code of dressing, hawavai ovyo. Si rahisi kuona mwislamu anaonesha mapaja au kutembea nusu uchi.

Sofia Simba alikuwa anawasema non-muslims, sasa kama hiyo imetafsiriwa na wengine kuwa ni wakristo, ni bahati mbaya.
 
Waislamu wana code of dressing, hawavai ovyo. Si rahisi kuona mwislamu anaonesha mapaja au kutembea nusu uchi. Sofia Simba alikuwa anawasema non-muslims, sasa kama hiyo imetafsiriwa na wengine kuwa ni wakristo, ni bahati mbaya.

hapo ulipoandika kwenye red. ishia ahapohapo, wana jf wananifitinisha na mods tu laikini hakuna wadasda wa kislam wanavaa mini. context ya theread yangu siyo udini. it is about uyanyasaji wa kijinsia anaoendlekeaza huyu mama simba dhidi ya wadada wetu. ila kwa sababu watanznaia mmezoea kila mtu akisema ukristo au uislam basi ni udini basi tuendelee kufuniaka kombe.
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.

mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011

mimi nimeelewa kua amekubali Halima Mdee ni tishio kwa CCM / UWT whatever the F**k na mimi nimefurahia hilo.
 
hakuna aliposema wakristo ktk maneno yake,but kuwaita wavaa vimini peke yake inatoka kuwa ni kukosa nidhamu na dharau ya hali ya juu kwa wanawake wa kitanzania.
 
Jerusalem,
Nadhani hujamuelewa Sophia Simba, soma mahojiano yake na Raiamwema upate kumuelewa alitokea wapi na kwamba sio mdini :

Nukuu toka kwa Sophia Simba ktk mahojiano na Raiamwema toleo namba 130 la tarehe 21-27 Aprili 2010 hapa chini:

''Baba yangu mwanzoni alikuwa Mwislamu. Alikuwa anaitwa Omari Simba. Kutokana na kusoma pale Minaki, aliamua kubadilisha dini. Baba yangu alibatizwa katika Kanisa la St. Albans - hili la hapa mjini. Na baada ya hapo baba yangu aliondoka akaenda Morogoro kufanya shughuli za biashara.

Kule alikutana na mama yangu, mwanamke wa Kiluguru ambaye naye historia yake alikuwa Sister wa Roman Catholic. Kwa hiyo walikutana na wakaoana.

Katika maisha yetu yote tumeishi kama Wakristu wa Roman Catholic. Mpaka leo mimi ni Mroman Catholic ingawaje kila mtu ananipa dini ambayo anaitaka.

Kwa hiyo, mimi ni mmoja wa watoto tisa. Mimi ni wa pili.
Raia Mwema: Makazi yenu hasa yalikuwa wapi?
Mama Sophia Simba: Makazi yetu yalikuwa Dar es salaam na Morogoro. Dar es Salaam tuliishi Bungoni, Ilala. Lakini tukiwa wadogo kabisa baba yangu alijenga nyumba yake ya kwanza kabisa Morogoro, Kwa Kingu.

Alifanikiwa sana kwa shughuli za baa. Mimi ni mtoto ambaye nimesomeshwa kwa pesa za pombe. Baba yangu alikuwa na baa inayoitwa Uzaramo Bar, Morogoro lakini pia alikuwa na baa inayoitwa Simba Bar. Kwa hiyo, mimi kufungua vizibo vya bia najua.''

Source: Si Kweli Kwamba sipendwi na wanaume- Sophia Simba
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.

mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011

Unaboaaa aloo!!! Ama baada ya kusema hilo, inawezekana kabisa huyu mama alikuwa anamaanisha mashoga wa Kikristo kama wewe.
 
Eti ndo wanasiasa wetu hawa???!!, kazi ipo!, kwani, she couldn't find some descent words to name them mpake awaite hivo! (msonyooooooo)

Is she the one who once said to women, not to have sex with their husbands if they refuse to join CCM? If so I'm questioning her state of mind
 
Back
Top Bottom