Sophia Simba na wanawake "wavaa vimini"

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

alisema hiv na hapa namunukuu:

"JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.

mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011
 
Mi naona wewe uko wrong kabisa!

Aliposema hivyo alimaanisha ..WASICHANA WA UMRI WAKATI..whether Wakristo or Waislamu, maana wote huvaa vimino!
Ni kitu gani kilichokufanya uone kama vile kawasema wakristo?
Ndiyo maana mwishoni mwa nukuu yako anasema kabisa kuwa .."tuwashirikishe watoto wetu"...

This is too much speculation broda, AND SOMETIMES IT CAN LEAD to bad outcomes.
 
SS ni mwanamke pekee anayeingia ktk top 10 ya waropokaji, vilaza na wehu hapa nchini orodha ambayo inaongizwa kwa muda mrefu na Tambwe hiza na Makamba.
 
Kwanza tujiulize kama tabia hii kwa wingi wao hawana? Ndipo tuanzie hapo kuujadili huu ukichaa wa SS.
.
 
Sioni kama alimaanisha udini hapa! ni wasichana macheksisters aliotaka kuwamaanisha! i agree PJ
 
Sio kila kitu kinachoongewa na mjinga kama huyu lazima tuchangie humu. Vitu vingine ni maneno ya kijinga na haitaji michango. Comments of ignorance.

Hakuna Impact yeyote ile...ni yeye na familia yake.
 
Mme m miss SS siku nyingi ehhh?
wapi kasema wanawake wa kikristo? Kwani hakuna Waislam wavaa vimini?..
 
ingawa sophia simba ni mwehu na mropokaji nafkiri hakumaanisha wanawake wa kikristo ila alimaanisha vijana wa kike a.k.a wasichana wa kizazi kipya ambao wengi wao hupendelea vimini na suruali za kubana coz now hata wasichana wa kiislamu nao ni walewale ni baadhi yao tu ndo wanajistiri kwa hijabu na baibui pia wakristo wako wanaovaa vizuri nafkir ndugu yangu ulimuelewa vibaya huyo mama anayesifia waume wa wenzake 'eti ni wanaume wa shoka'
 
..kwa uelewa wangu Sophia Simba ni Mkristo.

..pia aliposema wavaa vimini nadhani anamaanisha kina dada vijana wasomi.

..UWT imebakia kuwa ya wanawake wa miaka 50++, hali hiyo siyo nzuri kwa CCM hata kidogo. nadhani hicho ndicho alichokuwa akijaribu kukisema Sophia Simba.

NB:

..BINAFSI NAMHESHIMU HUYU MAMA KWA UJASIRI WAKE WA KUSEMA HADHARANI KWAMBA HAKUNA MSAFI KTK CCM.
 
Mbona akuna neno Wakristo kwenye nukuu yako?

Ama nawe ni AN-NUUR ya Kikristu?
 
mimi nakuona wewe ndio una suggest watu wakubaliane na unachokimaanisha na sio jinsi habari ilivyo maanisha.
 
..kwa uelewa wangu Sophia Simba ni Mkristo.

..pia aliposema wavaa vimini nadhani anamaanisha kina dada vijana wasomi.

..UWT imebakia kuwa ya wanawake wa miaka 50++, hali hiyo siyo nzuri kwa CCM hata kidogo. nadhani hicho ndicho alichokuwa akijaribu kukisema Sophia Simba.

NB:

..BINAFSI NAMHESHIMU HUYU MAMA KWA UJASIRI WAKE WA KUSEMA HADHARANI KWAMBA HAKUNA MSAFI KTK CCM.

kuita watyu wavaa vimini huku unaomba sapoti yao ni udhalilishaji na ninawaasa hao aliowaita wavaa vinmini wamuogope yeye na uwt yake kama ukoma
 
Mi naona wewe uko wrong kabisa!

Aliposema hivyo alimaanisha ..WASICHANA WA UMRI WAKATI..whether Wakristo or Waislamu, maana wote huvaa vimino!
This is too much speculation broda, AND SOMETIMES IT CAN LEAD to bad outcomes.

Mkuu,
Hapa umenena na nafikiri mtoa mada hata yeye mwenyewe baada ya kusoma mchango wako atakuwa ameona kosa lake.
Tutakapojisahau na kuchochea "udini" au kuanzisha fitina za kidini basi yaliyotokea Mto wa mbu yataendelea.

Ni maafa kwa jamii yetu.
Jamani nchi hii ni ya wote. Wenye dini na wasio na dini. Tushirikiane ,sio kubaguana.
 
Jerusalem? Ni wapi SS kataja wakristu? Huoni haya wala hujui vibaya? Watu kama wewe ndio mnaoitwa mafataani, mnafitinisha vibaya sana kwa kutumia imani za watu. Ulegee na Ushindwe!
 
huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.
Jerusalem ungeweza kufikisha ujumbe wako bila ya matusi na jazba.
Ujumbe wako uko zaidi kiuchochezi. Sote tunaelewa kuwa kujenga ni kazi kubwa lakini kubomoa ni mteremko.

Halafu naona unatumia lugha ya waarabu kuleta ujumbe wako. Kazi kweli kweli!!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/94396-i-hate-swahili-because-it-is-purely-arabic.html
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom