Mkuu najua nipo nje na theard yako nisamehe....
Naomba unisaidiea ni browse gani ya android ambayo naweza kufanya transition kutoka Swahili kwenda English au English kwenda Swahili mfano niwapo jf.?
mkuu kwa 1750 mah si betry nzuri wala sio mbaya kwa matumizi ya kawaida itakaa siku nzima ila kama unatumia sana haimalizi. kama unapenda simu inayokaa sana na chaji ambayo ni smartphone ya maana angalia simu hizi.
lenovo p770
hii ndo kali zaidi ya yote battery 3500mah ina talk time masaa 29(zaidi ya siku) simu kama hii ndo inaweza kaa wiki
motorola razr maxx
huyu naye anamfatia kwa karibu lenovo na 3300mah hii pia nzuri inakaribiana na ya hapo juu
Yap hii imetulia sana,
Em nipe dondoo ya hiz sim, nazo naona zimenivutia sana, ingawa upatikanaji wake Tz na Bei zake bado sijazipata sawasawa..
1. Lenovo A830
2. Micromax A116 canvas HD
3. ZTE Grand X Pro
Kwa kifupi, Napenda
>Dual sim
>Int memory/ Ram ya kutosha
>Camera nzur, 5 px na kuendelea hasa 8 px
>Ndogo (Dimension)
>Batter power, kuanzia 2000
>Iwe imetolewa mwaka huu, 2013
>Na mambo mengine ya kisasa
Nadhan mpaka hapo, umeshapata picha kwanin hizo zimenivutia.
Thanx
mdahavyose@hotmail.com
Huawei Y300 ndio itakuwa ya bei ndogo zaidi. Ina spcs zote za hiyo Xperia M, ila ram tu ni 520Mb. Na imeongezwa sratch resistant screen. Bei 198,000TZS
Yap hii imetulia sana,
Em nipe dondoo ya hiz sim, nazo naona zimenivutia sana, ingawa upatikanaji wake Tz na Bei zake bado sijazipata sawasawa..
1. Lenovo A830
2. Micromax A116 canvas HD
3. ZTE Grand X Pro
Kwa kifupi, Napenda
>Dual sim
>Int memory/ Ram ya kutosha
>Camera nzur, 5 px na kuendelea hasa 8 px
>Ndogo (Dimension)
>Batter power, kuanzia 2000
>Iwe imetolewa mwaka huu, 2013
>Na mambo mengine ya kisasa
Nadhan mpaka hapo, umeshapata picha kwanin hizo zimenivutia.
Thanx
mdahavyose@hotmail.com
kaka nimeelezea hapo juu huwezi fananisha cortex na krait ni miziki miwili tofauti though zote ni 1ghz dualcore ila xperia m ina power zaidi ya mara 2 ya y300 kaangalie youtube gaming review yake uone inavyohandle games kubwa
Na kwa bei je? By the way how bei ndogo is ndogo? Maana laki 1 na 4 sio gap dogo.
195,000 hii ni bei ya tigo na 400,000 nimei overprice bei halisi ni 337,000
ukitoa lumia 520 na 620 ambazo si android hakuna simu inayoifikia kwa specs xperia m huo ndo ukweli hebu ngoja kidogo nikupe brief kidogo
1. xperiam ina krait dualcore y300 ina cortex za kawaida (krait ndo processor ya moto x, gs3, htc one x, lumia 920, 925, 928, 1020, xperia z, htc one, gs4, lg g2 na simu zote kubwa)
2. xperia m ina ram 1gb y300 ina ram 512mb
3. camera ya xperia m inachukua hd katika 720p wakati y300 inachukua 480p tu
4.gpu, xperia m ina andreno 305 wakati y300 ina adreno 203. hapa xperia m inarun games zote kubwa wakati y300 unabahatisha hata asphalt sidhani kama itakubali
5. xperia m ipo compatible na html5 wakati y300 ni html kawaida (3rd party zipo)
6. battery, japo battery zinafanana ila kwenye xperia m unapata 10 hrs za kuongea wakati y300 ni masaa 5 tu.
7. sensor xperia m inazo tatu accelerometer, proximity na compass wakati y300 haina compass sensor
8. nfc (near field communication) xperia m inayo wakati y300 haina nfc
9.feature za camera ya xperim m ina panorama, geo taging, hdr, image stabilization wakati y300 ina geo taging tu
10. quality ya sony ni kubwa kuliko huawei
hizo ni 10 za fasta fasta ukitaka zinaendelea
Y300 Panorama inayo. Hivyo vingine labda muda zaidi wa kukagua. Vipi Samsung Galaxy Advanced. Na yenyewe ni 350, bei ya kutaja. Kwa kupiga domo 335.
Mkuu nimeona hawajamaa Sony wanatangaza xperia waterprof imewekwa kwenye beseni inamwgiwa maji tunaomba utupe speciation ya hiyo mkuu hatuna tulijualo kiundani kiongozi
Ubarikiwe sana mkuu
Jamani,samahani kwa kuingilia mada husika naomba mnisaidie hivi naweza kupata simu yenye touch screen model yoyote bei ya 80,000/=hapa bongo! Msaada tafadhari
Jamani,samahani kwa kuingilia mada husika naomba mnisaidie hivi naweza kupata simu yenye touch screen model yoyote bei ya 80,000/=hapa bongo! Msaada tafadhari
Item | Item | Description |
Detail | System | Android 4.1 |
CPU | MTK6577 1.2GHz Dual Core | |
GPU | Integrated Graphic Card | |
Memory | 512MB | |
Storage | 4GB NAND Flash | |
External Storage | Support 32GB Micro TF Card | |
Display | Screen Size | 4inch |
Resolution | 800×480 | |
Touch Screen | 5 points Capacitive Touch Screen | |
Language | Arabic, English, Chinese,French,23 languages,etc. | |
Battery | Recharge Type | Adapter or USB Cable |
Battery Type | Rechargeable Lithium Battery | |
Capacity | Dual 1400mah lithium battery | |
Network | WiFi | 802.11b/g wireless internet |
3G | WCDMA:2100 | |
Bluetooth | Bluetooth 2.2 technology , A2DP Sound recorder | |
GSM | GSM900/1800MHZ | |
I/O | Audio | 3.5 mm standard OMTP |
Video | Support most video type,3D Video play | |
USB | Micro USB | |
Charger Type | 110V-220V Input,5V,DC 0.5A Output | |
Camera | Front camera 0.3 Megapixel,back camera 5 Megapixel | |
Mic & speaker | Inside | |
SIM card | Dual SIM cards dual standby | |
Function | Video | Support 3GP,MP4,RMVB formats |
Audio | Support MP3,FM | |
Business | Office software,Arabic keyboard,Skype,QQ, MSN,Skype,G-talk,Yahoo,Gmail,Hotmail | |
GPS | Support | |
Sensors | Accelerometer | |
Others | Dimensions | 122*63*12.5 mm |
Weight | 107 g |
hili neno "ubarikiwe" muwe mnaaangalia na matumizi yake.
iangalie hii hapa. bongo inauzwa laki 1 na 95 tu.
na ina specification nzuri tu
X405_Xtouch | touch the world
Specifications
Item Item Description Detail System Android 4.1 CPU MTK6577 1.2GHz Dual Core GPU Integrated Graphic Card Memory 512MB Storage 4GB NAND Flash External Storage Support 32GB Micro TF Card Display Screen Size 4inch Resolution 800×480 Touch Screen 5 points Capacitive Touch Screen Language Arabic, English, Chinese,French,23 languages,etc. Battery
Recharge Type Adapter or USB Cable Battery Type Rechargeable Lithium Battery Capacity Dual 1400mah lithium battery Network WiFi 802.11b/g wireless internet 3G WCDMA:2100 Bluetooth Bluetooth 2.2 technology , A2DP Sound recorder GSM GSM900/1800MHZ I/O Audio 3.5 mm standard OMTP Video Support most video type,3D Video play USB Micro USB Charger Type 110V-220V Input,5V,DC 0.5A Output Camera Front camera 0.3 Megapixel,back camera 5 Megapixel Mic & speaker Inside SIM card Dual SIM cards dual standby Function Video Support 3GP,MP4,RMVB formats Audio Support MP3,FM Business Office software,Arabic keyboard,Skype,QQ, MSN,Skype,G-talk,Yahoo,Gmail,Hotmail GPS Support Sensors Accelerometer Others Dimensions 122*63*12.5 mm Weight 107 g